Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Sasa kibiti n mahali pa kwenda
Vijana wenzangu mnaooshi DSM na hamna ajira za uhakika mnachelewa kutoboa ndoto zenu, nendeni mikoani mashambani huko mtatoboa 100% guaranteedHellow time of joking
Unakaaje dar na hauli biliani ijumaa yaani unakula ugali na kisamvu why si uendw kibiti [emoji23]
biliani zuri ni la Mariam biliani mengine sio matamuHellow time of joking
Unakaaje dar na hauli biliani ijumaa yaani unakula ugali na kisamvu why si uendw kibiti [emoji23]
BILIANI hailiwi, na wala haiuzwi Dar, labda Kigoma huko ndio unaweza kukuta Biliani ya dagaa.Hellow time of joking
Unakaaje dar na hauli biliani ijumaa yaani unakula ugali na kisamvu why si uendw kibiti [emoji23]
Wali kiporo na kisamvu kiporo uwiiiii uwiiiii uwiii mtraaanu balaa.Hellow time of joking
Unakaaje dar na hauli biliani ijumaa yaani unakula ugali na kisamvu why si uendw kibiti [emoji23]
Kwenye red hapo ufafanuzi tafadhali.....Vijana wenzangu mnaooshi DSM na hamna ajira za uhakika mnachelewa kutoboa ndogo zenu, nendeni mikoani mashambani huko mtatoboa 100% guaranteed
Vijana wenzangu mnaooshi DSM na hamna ajira za uhakika mnachelewa kutoboa ndogo zenu, nendeni mikoani mashambani huko mtatoboa 100% guaranteed
Wali kiporo na kisamvu kiporo uwiiiii uwiiiii uwiii mtraaanu balaa.
Sema mim biriani, pilau, mandi napika vzuri kula ndo siwez.
Biryani is a mixed rice dish originating among the Muslims of the Indian subcontinent. It is made with Indian spices, rice, and usually some type of meat or in some cases without any meat, and sometimes, in addition, eggs and potatoes.
BILIANI hailiwi, na wala haiuzwi Dar, labda Kigoma huko ndio unaweza kukuta Biliani ya dagaa.
Dar kuna Biryani
ntakituma kwa bus au kwa ndege.Nipikie juma pili nije kula
ntakituma kwa bus au kwa ndege.
Dar ni sehemu watu wanaishi kwa hype mnoo,wakitaka kubeba jambo lao watalibeba haswa,mfano juisi za miwa,Ulaji wa nazi na karanga mbichi,biriani siku za ijumaa n.k....Haishangazi mtu anaishi Dar kuna bahari lakini atahaha kuagiza Sato kutoka Mwanza. Na mimi sababu nimekulia Dar nimeleta hype Mwanza,hakuna samaki nahangaika nao Super markets kama wa Baharini.
Mhhh hapo itakua kasheshe bin taabuWewe tu na uwezo wako [emoji23]
Mhhh hapo itakua kasheshe bin taabu