Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,914
Reaction score
3,386
Leo nilipata wasaha wa kupitia a
hansard za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.

TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.

Je, hatukua na option nyingine?

Inasikitisha sana.

Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
 
Nikuulize huo mkaa unaotumia unazani ni hekta ngapi zinateketea kwa mwaka kuzalisha mkaa, kuni mbao za asili kama mninga, mkongo, mpingo, kilimo na ufugaji (Wasukuma) nk?

Nimefika hapo Wanapojenga hilo Bwawa ni sehemu ndogo sana ya uharibifu wa misitu ya asili TZ, TZ inaharibiwa misitu na wakulima, wachoma mikaa, wakata mbao na wafugaji kwa rate kubwa sana tuache siasa
 
Nikuulize huo mkaa unaotumia unazani ni hekta ngapi zinateketea kwa mwaka kuzalisha mkaa, kuni mbao za asili kama mninga, mkongo, mpingo, kilimo na ufugaji (Wasukuma) nk? Nimefika hapo Wanapojenga hilo Bwawa ni sehemu ndogo sana ya uharibifu wa misitu ya asili TZ, TZ inaharibiwa misitu na wakulima, wachoma mikaa, wakata mbao na wafugaji kwa rate kubwa sana tuache siasa
Uvunaji wa miti milion 4 kwa pamoja unafanana na ukwata wa mkoa maeneo tofaut tofauti kweli unaona hii jinreasoning argument..?
 
Nikuulize huo mkaa unaotumia unazani ni hekta ngapi zinateketea kwa mwaka kuzalisha mkaa, kuni mbao za asili kama mninga, mkongo, mpingo, kilimo na ufugaji (Wasukuma) nk? Nimefika hapo Wanapojenga hilo Bwawa ni sehemu ndogo sana ya uharibifu wa misitu ya asili TZ, TZ inaharibiwa misitu na wakulima, wachoma mikaa, wakata mbao na wafugaji kwa rate kubwa sana tuache siasa
Mzee mbona umeamua kutumia akili kidogo hivyo kwenye hili? Kwahiyo serikali imeamua kuwakomoa wakulima na wachoma mkaa kwa kukata miti kama wao?
 
Jiwe alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu. Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo
 
Kwa hiyo miti ya Rufiji ndiyo imeleta Joto? Umesomea nini kama haujali mimi kuuliza?
 
Kama unaishi Dar au hutembei nchi hii utasema ni akili ndogo ila jua tu mamilioni ya hekta za misitu yanateketea kwa shughuli za kibinadamu (Mkaa, kilimo, ufugaji na makazi)
 
Kwa hiyo miti ya Rufiji ndiyo imeleta Joto? Umesomea nini kama haujali mimi kuuliza?
Wewe sio mzima ka geography ya form ilikupita kushoto kwa ukilaza wako Bora utulie tu kimya au umezoea huko kwenu kukata miti Hadi Rais akawasema!?
 
Kwa hiyo ni bora kuwasha Diesel engine za Dowans na Iptl kuliko kuzalisha Umeme kwa maji?

Kipi kinaharibu zaidi mazingira kati ya generator za Dowans mnazotaka kuwasha and Umeme wa maji wa Stiegler?

Hivi unafahamu umeme utokanao na nguvu ya Maji kama mliocancel wa Stiegler ni renewable energy?
 
Kwa hiyo ni bora kuwasha Diesel engine za Dowans na Iptl kuliko kuzalisha Umeme kwa maji...
Umeme wa maji ni outdated mzee watu wanatumia alternative source of energy zisizochafua mazingira Sasa mtu anakata miti ma milion bila kufikiria hiyo huleta rain formation, Matokeo yake na bwawa halitajaa kwa ukosefu wa mvua na ndio maana Dar kulikuwa na mgao wa maji.
 
Jiwe alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu. Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo
Acha kumlaumu huyo mzee pamoja na mapungufu ya kidemokrasia ila alikuwa na maono yake ya uongozi hadi leo CCM yanawatesa
 
Kweli alikuwa na maono ya kutofata taarifa za wataalamu wa mazingira wa kina Nyerere walioacha huo mradi Hadi Kikwete hawakuwa na maono eeeh
 
Umeme wa maji ni outdated mzee watu wanatumia alternative source of energy zisizochafua mazingira Sasa mtu anakata miti ma milion bila kufikiria hyo huleta rain formation, Matokeo yake na bwawa halitajaa kwa ukosefu wa mvua na ndio maana Dar kulikuwa na mgao wa maji

Umeme wa maji siyo outdated na ni renewable source of energy isitoshe nchi nyingi za Ulaya zinajenga Hydroelectric dams leo hii, Kanada wanajenga hydroelectric dams sasa kwa nini unasema ni outdated? China wanajenga hydroelectric dams kila siku kwa nini unafikiri?

Isitoshe kati ya Diesel Generators za Dowans IPTL na umeme wa maji kipi kipo out dated? Kipi kinachafua mazingira?
 
Umeme wa maji ni outdated mzee watu wanatumia alternative source of energy zisizochafua mazingira Sasa mtu anakata miti ma milion bila kufikiria hyo huleta rain formation, Matokeo yake na bwawa halitajaa kwa ukosefu wa mvua na ndio maana Dar kulikuwa na mgao wa maji
Umeme wa maji hautokuja kuwa outdated kama utafanywa na kutunzwa na watu wenye akili. Kwahili la stigl jiwe aliona mbali
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu ..?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je hatukua na option nyingine ..?
Inasikitisha sana
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Miti inapandwa, panda mti wewe kwanza kwenye makazi yako.
 
Kweli alikuwa na maono ya kutofata taarifa za wataalamu wa mazingira wa kina Nyerere walioacha huo mradi Hadi kikwete hawakuwa na maono eeeh
Nyerere hakuacha kijana pesa ukikosekana kuuendeleza fuatilia utajua hata hilo bwawa la Kizimzumbwi ni Nyerere alitaka kujenga ila Dar mpate maji ya uhakika
 
Back
Top Bottom