Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)

Leo nilipata wasaha wa kupitia a
hansard za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.

TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.

Je, hatukua na option nyingine?

Inasikitisha sana.

Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
Watu wa hovyo na mafisadi kupata kutokea nchi mmojawapo ni huyu nape!
 
Jiwe alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu. Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo
Pimbi nyie
 
Umeme wa maji ni outdated mzee watu wanatumia alternative source of energy zisizochafua mazingira Sasa mtu anakata miti ma milion bila kufikiria hiyo huleta rain formation, Matokeo yake na bwawa halitajaa kwa ukosefu wa mvua na ndio maana Dar kulikuwa na mgao wa maji.
Angalia hii pimbi

Nyie takataka ndio mlikua mnaleta maumeme ya jenereta mtuibie sio??

Poleni
 
Huyu ametumwa na prof Muongo. Waziri Aliyekuwa hataki bwawa lijengwe sababu ya kupewa rushwa na kampuni za gesi
 
Sawa mkuu lakini hebu fikiri hayo matrilioni kama angeyaingiza kwenye umeme wa upepo au sola au jotoardhi na akaokoa hiyo miti si angekuwa shujaa zaidi?
chanzo bora cha uzalishaji wa umeme kati ya jua upepo maji nk kipi ni chanzo bora na ghalama rahisi kwa uzalisha
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia a
hansard za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.

TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.

Je, hatukua na option nyingine?

Inasikitisha sana.

Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA

Umeme wa maji ni outdated mzee watu wanatumia alternative source of energy zisizochafua mazingira Sasa mtu anakata miti ma milion bila kufikiria hiyo huleta rain formation, Matokeo yake na bwawa halitajaa kwa ukosefu wa mvua na ndio maana Dar kulikuwa na mgao wa maji.
Ndio wala rushwa wengi maoni yao yapo hivi trump akiwanyoosha ni sawa tu!
 
Back
Top Bottom