Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)

Aisee!
Kweli nchi hii tuna wavivu na vilaza wanaoendeshwa na upepo wowote ili mradi wajipe furaha ya dharura
Ukataji wa miti ni uharibifu wa mazingira na wala uhitaji rocket science kuelewa
 
Hiyo milioni nne uliihesabu au unadahania tu?
 
Uchimbaji wa gesi makadirio yake yalikuwa ni kwa miaka 30 hadi 40. Je baada ya hapo umeshajiuliza tungepata wapi source nyingine ya umeme?
 
Hivi hamjajua tu kwamba kwa kumsimanga mwenda zake ndio kwaza mnazidi kupotea njia,unaona faida ya miti tu lakini huoni faida ya umeme utakao patikana hapo,tunaujua hamuwezi kuacha kumalizia bwawa kinacho wasumbua Ni performance ya mwenda zake Kila mnapojipima mnakuta mnapwaya mnachanganyikiwa ndugu zangu pumzikeni tu kigezo na rekodi ya mwendazake haitabadirishwa mnapaswa kuibunja sio kuikana.
 
Hivi wewe si ndie ulie okota kunguru Jana? Nilikuwa na mashaka Sana Ila sasa Sina Shaka kabisa!
 
Ulishafika hapo JNHPP ukaona eneo ambalo limekatwa miti? Mbona ni eneo dogo sana hata kata 1 ya Dar haivuki achana na maneno ya kisiasa na ya wanaharakati
 
Usiwe poyoyo na wewe kwa kushadadia akili za mabeberu. Ngoja nikueleze: Mabeberu (US, EU, Israeli, Canada, Australia) wamesababisha political instability na kuwezesha mauaji ya Wakongo zaidi ya milioni 6 ili kufanikisha azma yao ya uporaji wa rasilimali nchini DRC. Hebu tuambie, ni wapi mabebebru hao wamepigia kelele mauaji hayo? Wewe mwenyewe ni lini umefanya hivyo? Kipi bora kati ya uhai wa mwanadamu na miti? Mnaudhi sana!
 
Eneo litalotumika kwa mradi ni kilometa za mraba 1350

Ukubwa wa mkoa wa Dar es Salaam ni kilometa za mraba 1590.

Tukirudi kwenye mada, nina maswali makubwa mawili

1. Je faida za mradi ni ndogo kuliko kuliko faida za kubaki na pori?

2. Ekolojia ya Tanzania itaathirika kwa ajili tu ya kukata eneo la kilometa 1350 kwa nchi ambayo ina kilometa za mraba 33500 za misitu ambayo ni sawa na hecta million 33.5?

3. Kuna stadi za athari kwa mazingira (assessment) zilifanyika kabla ya kutekeleza mradi huu?

4. Ipi namna bora ya matumizi ya rasilimali zetu? Ni lazima mataifa mengine yakubaliane nasi ndio tufanye jambo?
 
Na kama pia ulikuwa hujui kipindi cha Magufuli ndo miti ilipandwa kwa wingi kila mkoa... umesahau sera ya jiti milioni 1 kila mkoa ambapo ni sawa na miyi milioni 26 kwa mikoa 26 tu sasa hiyo iliyobaki malizia mwenyewe... Acha upotoshaji.
 
wewe ndio hauna akili ndugu yangu aliyekupatia uhuru na kukusisitiza utumie lugha ya kiswahili na kujenga viwanda kila kona ndio mwenye akili kuliko wewe huyo ndio aliyechora ramani ya huo mradi nenda kazungumze naye ahela.
 
Cubic meter million 2 ni sawa na miti million 2 eti?

Acheni kutumalizia bundle kwa utopolo wa namna hii
 
Zilipatikana bilioni au Trillioni ngapi kutoka hiyo miti iliyovunwa?
 
Hivi huyu kijana mtoa mada amesoma kweli? Anasema iliyokuwa selous game reserve sasa hivi Mwl Nyerere national park na Nyerere Hydro combined ilikuwa na miti milioni nne ambayo ilikatwa na ina usawa na mkoa wa Dar essalaam/ kwanza kile kitendo cha kupasisha game reserve kuwa national park ni cha kupongezwa . Mwaka 1984 wakati nasoma Austria chuo cha utalii mwalimu wetu wa tourism na heritage mgt alizungumzia selous game reserve na alikuwa anashangaa kwa nini hatukupasisha iwe national park kuna faida nyingi hapo tulizokuwa tunakosa kuiacha kuwa game reserve. Sasa suala la kukata miti ni lipi bora kukata miti official inayojulikana kama vile kukata miti ya Mufindi kwa ajili ya karatasi au kule Olmotonyi kwa ajili ya mbao au kukata miti ovyo unofficial kwa ajili ya mkaa. Serikali inao watu waliosoma wanajua mipango ya kufidia miti wanayokata. Tuache siasa za chuki kama huyo mtoa mada kwa sababu ya kukosa cheo cha uwaziri Mungu atawaadhibu.
 
Tujiulize hivi magogo mangapi yameuzwa nje ya nchi kwa magendo na hao vigogo wetu sembuse miti milioni nne? Jeee Meno ya tembo wa hapo hapo selous magapi tena kwa makontena yaliyouzwa nje mpaka tembo wakakimbilia Msumbiji kujificha. Tembo walianza kurudi baaa ya JPM kuingia madarakani nani anabisha?
 
Yule mnyamulenge alihakikisha anaharibu kila kitu kabla hajapata hifadhi kaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…