Sasa endapo hilo bwana litakamilika na mgao wa umeme ukawepo utasemaje?mtu anayezuia kujenga hilo bwawa akisingizia sijui mazingira sijui nini huwa namshangaa sana. na huwa naamini hana akili timamu.
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata
Jimbo la New York na Beijing ni maeneo yayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa duniani... miti milioni 4 mbona sawa na Tanzania nzima. Tusiharibu mazingira jamani. Joto kali... kwanza huo umeme mnautaka wa nini... bara lenyewe la giza... umeme ukikatika tunalia, ukirud tunalia... hatujui tutakacho kama Taifa.Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je, hatukua na option nyingine?
Inasikitisha sana.
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Huo ni mfano tu katika kujenga hoja yake. Mikaa ya jiji la Dar yote inatoka mkoa wa Pwani na huu mchakato wa kuileta Dar haijaanza jana wala juzi. Umeshajiuliza kama hiyo miti inayokatwa huwa inapandwa miti mingine mbadala?.Mzee mbona umeamua kutumia akili kidogo hivyo kwenye hili? Kwahiyo serikali imeamua kuwakomoa wakulima na wachoma mkaa kwa kukata miti kama wao?
Acha uongo bwana, yaani serious machozi yamekutoka?Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je, hatukua na option nyingine?
Inasikitisha sana.
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Kweli Mkuu mwambie atembelee mikoa ya kilimo kama Ruvuma akaone mashamba ya kitai (magereza) na mlale jkt nd ataona miti jinsi gani inakatwa na imekatwa,,, hiyo miti 4m ni michache sana.Kama unaishi Dar au hutembei nchi hii utasema ni akili ndogo ila jua tu mamilioni ya hekta za misitu yanateketea kwa shughuli za kibinadamu (Mkaa, kilimo, ufugaji na makazi)
Miti bado hipo ya kutosha na hata ukiwa kwenye ndege utaona idle fertile land ni eneo kubwa sana.Miji yetu au population coverage ktk land ni ndogo sana.Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je, hatukua na option nyingine?
Inasikitisha sana.
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Imekatwa miti mingapi kujengwa majiji, miji na vijiji nchi hii? Au unafikiri majiji kama Dar, Mwanza, Dodoma yalishuka toka mbinguni?Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je, hatukua na option nyingine?
Inasikitisha sana.
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Mkuu una akili sana. Na mtoa uzi hawezi kukujibuNikuulize huo mkaa unaotumia unazani ni hekta ngapi zinateketea kwa mwaka kuzalisha mkaa, kuni mbao za asili kama mninga, mkongo, mpingo, kilimo na ufugaji (Wasukuma) nk?
Nimefika hapo Wanapojenga hilo Bwawa ni sehemu ndogo sana ya uharibifu wa misitu ya asili TZ, TZ inaharibiwa misitu na wakulima, wachoma mikaa, wakata mbao na wafugaji kwa rate kubwa sana tuache siasa
Watu kama ninyi hamuwezi kuishi kwenye nchi za watu wenye akili.Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je, hatukua na option nyingine?
Inasikitisha sana.
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Tuende mbali kidogo zaidi. Ni kiasi gani cha emission ya water vapour(transpiration) kimepotea baada hiyo miti iukatwa. Hayo ni maji yanaweza kugeuka mvua katika maeneo ya karibu. Je, huu ukame wa mwaka huu una uhusiano?Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je, hatukua na option nyingine?
Inasikitisha sana.
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Sawa mkuu lakini hebu fikiri hayo matrilioni kama angeyaingiza kwenye umeme wa upepo au sola au jotoardhi na akaokoa hiyo miti si angekuwa shujaa zaidi?Jiwe sikumuunga mkono kwa mengi lkn hili la umeme JNHPP nilimuunga mkono kwa 200%
Kwa hali ya dunia ilivyo kwa sasa na haya mabadiliko ya tabia nchi mtu mwenye uelewa wa kawaida akisema tusikate miti bali tutafute alternatives nyingine huyo ni mbarikiwa sana.. sasa mtu anajenga hoja eti wanaokataa ni maneneru sasa huyu ni sawa anamuota mama yake mchawiUmeme wa maji ni outdated mzee watu wanatumia alternative source of energy zisizochafua mazingira Sasa mtu anakata miti ma milion bila kufikiria hiyo huleta rain formation, Matokeo yake na bwawa halitajaa kwa ukosefu wa mvua na ndio maana Dar kulikuwa na mgao wa maji.
Hata mwaka 2006 ulitokea ukame mkali sana tukiwa hatujaka hata mti mmojaLeo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je, hatukua na option nyingine?
Inasikitisha sana.
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
takwimu zilishatoka kuwa, miti yoye ukichanganya na ile midogo midogo ni 2.7 Milioni hivyo nafikiri ungejenga hoja yako kwa kutumia hizo data ili ueleweke..Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je, hatukua na option nyingine?
Inasikitisha sana.
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Rais samia anabeba mzigo kusawazisha makosa ya awamu iliyopita, ni kwamba anapanda hio miti 4M ama?! #POLITICSLeo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.