Unakikumbuka kikosi hiki?

Unakikumbuka kikosi hiki?

1) Matokeo
2) Saga
3) Modest
4) George Ngasongwa
5) Baba Dimu
6) Shomari
7) Erick Mzungu ''cantona''
8) Habib
9) Mfede
10) Kalikawe
11) ....................

Kocha Arigo Sacchi.

Dah mkuu hata mimi hapa kwa abajalo umenikuna kwa kweli.
Hapo kuna mtu anaitwa Baba dimu yaani ni noma.
hewani anaruka
Na chini ndo kwake.
Halafu huyo mfede hapo mbele ni balaa.kama jamaa angeamua kuutolea macho mpira basi angekuwa mbali sana.
Dah Abajalo mnyama mkubwa sijui imepotelea wapi?
 
Seaman
Lunzny
Cole
Steparnov
Grimandi

Kwi kwi kwiiiiii
Huu ndo ule ukuta mdebwedo wa Arsenal uliokula goli 6-1 na Man UTD.
 
Joseph katuba
Maaruf yasin
Aziz nyoni ''njalambaya''
Peter lucas
Iddy cheche
Obby mwambungu
Rasheed mmanga
Ladislaus shawa
Abdalah msamba
Gebo Peter
Shaaban anania
 
1.Hans-Jorg Butt
2.Zoltan Sebescen
3.Diego Placente
4.Lucio
5.Boris Zivkovic
6.Carsten Ramelow (c)
7.Bernd Schneider
8.Michael Ballack
9.Oliver Neuville
10.Yıldıray Basturk
11.Ze Roberto
 
1.Hans-Jorg Butt
2.Zoltan Sebescen
3.Diego Placente
4.Lucio
5.Boris Zivkovic
6.Carsten Ramelow (c)
7.Bernd Schneider
8.Michael Ballack
9.Oliver Neuville
10.Yıldıray Basturk
11.Ze Roberto

Barantanda hilo ni bayer leverkusen.
Aibuuuuuu
 
Seaman
Lunzny
Cole
Steparnov
Grimandi

Kwi kwi kwiiiiii
Huu ndo ule ukuta mdebwedo wa Arsenal uliokula goli 6-1 na Man UTD.

Teh teh....usinikumbushe machungu ya mwaka 2001(kama sikosei mkuu)...Yaani ilikuwa noma siku hiyo...Lauren,Tony Adams na Martin Keownwalikuwa majeruhi,Wenger hakuwa na jinsi,ilibidi awaweke Gilles Grimandi na Igor Sterpanov kama mabeki wa kati,halafu Oleg Luzhny na Ashley Cole wakacheza kama mabeki wa pembeni...Hicho kichapo tulichokipata Mungu anajua

Muuaji alikuwa Dwight Yorke(alitupiga hat-trick),wafungaji wengine walikuwa ni Roy Keane,Ole Gunnar Solskjaer na Teddy Sheringham...Yaani siku hiyo mpaka half time score board ilikuwa inasomeka Man Utd 5 Arsenal 1(Goli letu lilikuwa la kusawazisha,lilifungwa na Thiery Henry)....Kamwe siisahau mechi hii maana ilinikosesha raha mnooo

Vikosi vya siku hiyo pale Old Trafford vilikuwa hivi;

Man Utd

1.Fabian Barthez
2.Garry Neville
3.Mikael Silvestre
4.Wes Brown
5.Jaap Stam
6.Nicky Butt
7.David Beckham
8.Roy Keane(Luke Chadwick)
9.Paul Scholes
10.Dwight Yorke(Teddy Sheringham)
11.Ole Gunnar Solskjaer

Arsenal

1.David Seaman
2.Oleg Luzhny
3.Ashley Cole(alitoka akaingia Fredrik Ljungberg,Silvinho akarudi nyuma)
4.Gilles Grimandi
5.Igor Stepanov
6.Patrick Vieira
7.Robert Pires
8.Ray Parlour(aliumia akaingia beki Nelson Vivas)
9.Sylivain Wiltord
10.Thieri Henry
11.Silvinho(alianza kama winger)

Yaani siku hiyo tulizidiwa hasa........mhhhhh

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=YiIdiOfy9Mw"]http://http://www.youtube.com/watch?v=YiIdiOfy9Mw[/ame]
 
Schmaikel
G.neville
Denis Irwin
Rony Johansen
Jaap Stam
Butt
Giggs
Beckham
Cole
yorke
Jesper Bronqvist...

dah hawa jamaa walipambana mpk mwisho, na Mungu akawa upande wao.
sijui sasa itakuwaje
 
Na kikosi hiki je


Steven Nemes
David mwakalebela
Keneth Mkapa
Godwin Aswile-Mulimba
George Masatu/Ramadhani Maufi Renny
Hussein Aman Masha
Mchunga Bakari
Michael Paul-Nairon
Innocent Haule
Saidi Mwamba-kizota
Dua zaidi


Hii ilikuwa Taifa stars V/s Ghana
Ccm kirumba mwanza

Dah umenikumbusha mbali mzee,George Masatu hapo alitoka nje kwa maumivu ya goti na baadae akapona na akachezea timu moja ya Victoria katika Kombe la Chalenji lililofanyika Mwanza mwezi August!
 
Joseph katuba
Maaruf yasin
Aziz nyoni ''njalambaya''
Peter lucas
Iddy cheche
Obby mwambungu
Rasheed mmanga
Ladislaus shawa
Abdalah msamba
Gebo Peter
Shaaban anania

Hii ni Sigara ya Dar Es Salaam kama sikosei,ilikuwa ni timu ya Ligi daraja la Kwanza Tanzania. Dah wakati ule ilikuwa burudani kweli na Redio Tanzania ilichangamsha kweli kila mkoa.
 
Schmaikel
G.neville
Denis Irwin
Rony Johansen
Jaap Stam
Butt
Giggs
Beckham
Cole
yorke
Jesper Bronqvist...

dah hawa jamaa walipambana mpk mwisho, na Mungu akawa upande wao.
sijui sasa itakuwaje

Katika mabeki niliobahatika kuwapenda sana katika ligi ya Uingereza ni huyo Mholanzi (kwenye red),Alikuwa beki mzuri wengine siwaoni kama yeye!
 
Salim waziri
Saidi korongo
Deogratis muhani
Idrisa ngulungu
Yassin napil
Ally maumba
Ally jangalu
Kassa Mussa
Juma mgunda
Husein mwakuluzo ( Luga)
Razzack yusuph Careca...

Nani anaikumbuka hiyo timu?

Wazee wa kimanumanu...Mkuu kipindi hicho hata bei ya TV nilikuwa sijui.!! Unaweza kunikumbusha kale Ka team ka Uganda ambako jamaa walipiga nako ? Nakumbuka kidogo, wakina Sam Ssimbwa, Robert aloro,Sam kabugo,Majid musisi, Paul Aswile.
 
Wazee wa kimanumanu...Mkuu kipindi hicho hata bei ya TV nilikuwa sijui.!! Unaweza kunikumbusha kale Ka team ka Uganda ambako jamaa walipiga nako ? Nakumbuka kidogo, wakina Sam Ssimbwa, Robert aloro,Sam kabugo,Majid musisi, Paul Aswile.

mkuu hawa jamaa mpaka niltulie na kupata banana wine kama chupa 7 hivi ndo nitawakumbuka woote...ila kwa kuanzia nakupa hawa...

Charles Simbwa
Paul Hasule
Geofrey Yigenyi
Willy mkemba
Adam semugabi
Robert arolo
Iddy Batambuzi
Nk nk nk nk
 
Unakikumbuka hiki????

Khamis Kinye
Yusuf Ismail Bana
Fred Felix Minziro
Allan Shomari
Athman Juma Chama
Isihaka Hassan Chukwu
Omar Hussein Keegan
Elisha John
Makumbi Juma Homa ya jiji
Abeid Mziba
Hussein Idd

Umewasahau Ahmed Amasha (namba 3), Said Mwamba (namba 6)
 
Back
Top Bottom