Unakosa wateja kwenye biashara yako? No problem. Badili strategy utengeneze pesa 2020



Labda useme ww mwanUme mwenzao huenda wakaelewa! Nashangaa sana yaan hate kila. Siku...wengine ht hawafananii kbs
 
Point iliuyopo mwacheni...km.anawapiga watu wamesikia!

Mkuu hawa wivu uliochanganyika na hasira unawasumbua [emoji38]

It doesn’t make sense kila uzi wangu wapo.

Hawachangii mada wao ni kupinga tu na kujaribu kuonyesha watu mimi ni mtu mbaya nipo hapa hudanganya watu.

They so stupid [emoji107]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Hahah fogo wa JF bana.


dodge
 
Mkuu nimesoma article yako kuna mambo nimejifunza, usijibu watu wajinga wajinga.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe mkuu mng'ato una mfrustrate mtu na kumtoa nje ya reli kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]

Hapa mtoa mada asipoweza kudhibiti hasira atavurugwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wanajua kucheza na mind za watu
Uzi ni mzuri lakini nilipoona hasira hizi na kahamisha uzi kutoka biashara mpaka ubishi kama wa Iran na USA nikaudharau kabisa huu uzi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wanajua kucheza na mind za watu
Uzi ni mzuri lakini nilipoona hasira hizi na kahamisha uzi kutoka biashara mpaka ubishi wa Iran nikaudharau kabisa huu uzi


Sent from my iPhone using Tapatalk
'Uzi ni mzuri lakini nilipoona hasira hizi na kahamisha uzi kutoka biashara mpaka ubishi wa Iran nikaudharau kabisa huu uzi'

Hapo sijakuelewa.

dodge
 
'Uzi ni mzuri lakini nilipoona hasira hizi na kahamisha uzi kutoka biashara mpaka ubishi wa Iran nikaudharau kabisa huu uzi'

Hapo sijakuelewa.

dodge

Jamaa anashindwa kujibu maswali simple mnayouliza
Hiyo ya Iran nime edit Mkuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Jamaa anashindwa kujibu maswali simple mnayouliza


Sent from my iPhone using Tapatalk
Jibu la Jamaa sasa mara wewe ni looser sijui natoa VALUE,stupid,get out

Swali ni Co. Yako yako ya utalii inaitwaje?Easy as that

Huku chuga wakina Fazali wa leopald tours,bushback safaris tuko nao kwny harakati za maisha kila siku na hamna kitu kinafichwa fichwa lkn naambiwa kwa swali hilo namshambulia personal.,hahah

dodge
 
Mkuu kuna kitufe cha ignore, kitumie kwa wajinga wajinga wanaokutoa kwenye mstari.

Wao hakuna siku wameleta mada ya maana, ila wanadandia zako wajifanye wapo smart.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Daaa aisee


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mkuu kuna kitufe cha ignore, kitumie kwa wajinga wajinga wanaokutoa kwenye mstari.

Wao hakuna siku wameleta mada ya maana, ila wanadandia zako wajifanye wapo smart.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hao wajinga wajinga bila shaka na madalali wa humu JF hamtakosekana kwny hio list.

dodge
 
Blah blah blah nyingi hakuna cha maana, motivational speakers ifike muda muache ujinga,mnashaur vitu ambavyo hamjawah kufanya

Yan umetoa vipoint google huko unakuja kudanganya kadamnasi ma kiingereza cha form 6.

Ungekuwa karibu ningekupiga mbata
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Angalia na hili jinga lingine.

Utapata shida sana kwangu.

Huwezi kufanya lolote [emoji107]

Hapo vipi?

Haya sasa kwendaaa.....hakuna anayekuhitaji hapa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu nimesoma article yako kuna mambo nimejifunza, usijibu watu wajinga wajinga.


Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji817]

Pamoja mkuu.

Hawa wajinga wajinga mimi nawamudu wote.

Hawana la maana zaidi ya hatred.

Ngoja niendelee kuwapiga nyundo za kichwa[emoji375]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…