Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kwani akiulizwa jina la Co. yake kuna shida?
dodge
Point iliuyopo mwacheni...km.anawapiga watu wamesikia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani akiulizwa jina la Co. yake kuna shida?
dodge
Mkuu kwani shida ni nini? Mada mezani it's about namna ya kuongeza wateja kwenye biashara zetu sasa badala ya kuchangia mada tushirikishane madini all of your posts it's about negativity nafikiri tu concentrate kwenye mada hizi personal attacks zinatupotezea focus plz!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakukubali sana una madini ya kutosha, sema haya majibu yako ndo siyapendi [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Point iliuyopo mwacheni...km.anawapiga watu wamesikia!
Kuna sehemu nimesema anapiga watu kwny hii thread?Point iliuyopo mwacheni...km.anawapiga watu wamesikia!
Wewe huelewi?
Wewe ni jinga?
Nimekwambia hivi im not going to share no name of tour company I’m building/running
Wewe huwezi nisaidia kwa lolote kwenye Business yangu kwahiyo I choose to ignore you.
Now, get out of here. Stupid
[emoji383][emoji161]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu kwani jamaa ameandika nini cha kuonyesha ni tapeli.Kuna sehemu nimesema anapiga watu kwny hii thread?
dodge
Mkuu nimesoma article yako kuna mambo nimejifunza, usijibu watu wajinga wajinga.Hawezi kuchangia mada kwasababu hajui lolote kuhusu business.
Yeye anaona kuwa na kampuni ya tours ni issue sana kwasababu ni jinga.
Come to Arusha and I will show you so many young people making it big time in tourism & accommodations.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu kwani jamaa ameandika nini cha kuonyesha ni tapeli.
Mbona unamshambulia personal? Acha wengine tujifunze mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe mkuu mng'ato una mfrustrate mtu na kumtoa nje ya reli kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa mtoa mada asipoweza kudhibiti hasira atavurugwa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkuu swali lilikua simple tu,ila majibu yake daah mara sisi ni haters mara sijui loosers hata sielewi mkuu,hahah.
dodge
'Uzi ni mzuri lakini nilipoona hasira hizi na kahamisha uzi kutoka biashara mpaka ubishi wa Iran nikaudharau kabisa huu uzi'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wanajua kucheza na mind za watu
Uzi ni mzuri lakini nilipoona hasira hizi na kahamisha uzi kutoka biashara mpaka ubishi wa Iran nikaudharau kabisa huu uzi
Sent from my iPhone using Tapatalk
'Uzi ni mzuri lakini nilipoona hasira hizi na kahamisha uzi kutoka biashara mpaka ubishi wa Iran nikaudharau kabisa huu uzi'
Hapo sijakuelewa.
dodge
Jibu la Jamaa sasa mara wewe ni looser sijui natoa VALUE,stupid,get outJamaa anashindwa kujibu maswali simple mnayouliza
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mkuu kuna kitufe cha ignore, kitumie kwa wajinga wajinga wanaokutoa kwenye mstari.Mkuu hawa wivu uliochanganyika na hasira unawasumbua [emoji38]
It doesn’t make sense kila uzi wangu wapo.
Hawachangii mada wao ni kupinga tu na kujaribu kuonyesha watu mimi ni mtu mbaya nipo hapa hudanganya watu.
They so stupid [emoji107]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jibu la Jamaa sasa mara wewe ni looser sijui natoa VALUE,stupid,get out
Swali ni Co. Yako yako ya utalii inaitwaje?Easy as that
Huku chuga wakina Fazali wa leopald tours,bushback safaris tuko nao kwny harakati za maisha kila siku na hamna kitu kinafichwa fichwa lkn naambiwa kwa swali hilo namshambulia personal.,hahah
dodge
Katika hao wajinga wajinga bila shaka na madalali wa humu JF hamtakosekana kwny hio list.Mkuu kuna kitufe cha ignore, kitumie kwa wajinga wajinga wanaokutoa kwenye mstari.
Wao hakuna siku wameleta mada ya maana, ila wanadandia zako wajifanye wapo smart.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri ya mwaka mpya 2020 JF massive!
Leo kama kawaida nipo hapa nikikupatia darasa muhimu kabisa kwanini Hustle zako (business) inakosa wateja wakati unafahamu kabisa product au service unayouza ni high quality. Pia nitakuonyesha solution ya hili tatizo [emoji817]
Leo nataka nikuonyeshe simple trick itakayobadilisha kabisa Business yako kama ukifuata vizuri.
Unajua kwenye business inabidi uwe smart sana kwa maana yakufahamu utaweza vipi KUJENGA INFUENCE kwa potential customers wako.
Bila hivi utahangaika sana kupata wateja.
You can trust me on this.
Nimesaidia small businesses nyingi tu kupata mbinu zaku-influence wateja wanaolenga kuwauzia bidhaa au service na wamefanikiwa kwahiyo ninafahamu namna yaku connect dots ili kweli biashara yako iongeze mauzo.
I’m speaking this form experience na si blah blah.
Nafamu wajasiriamali wengi wanatumia muda mwingi kuandaa product kwamaana ya packaging, jinsi atakavyosafirisha (kama ni physica product) bei watakayouza, logo na kadhalika. Lakini mwisho wa siku wakienda kuuza no one is interested to buy.
Entrepreneurs wengi wanaoanza wanashindwa kuona huu mtego na wakija kutambua hakuna wateja kama walivyodhani wengi wanaacha hizo business.
Leo nataka niokoe muda wako na pesa zako kwa kukusaidia jinsi utakavyoweza kupata wateja wa bidhaa yoyote unayouza.
Are you ready?
1 • Unahitaji kutengeneza “content” utakazo-share Online. Content zinazohusu bidhaa au service unazouza.
Yep.
Tena unatakiwa kufanya hivi in a consistent manner.
Hapa maana ya content kwamfano ni post kama hizi ninazo-share hapa JF au inaweza kuwa picha & maelezo instagram au Facebook. Lengo ni kuwafanya potential client wanifahamu lakini pia wafahamu kuhusu services ninazotoa.
Kipindi hiki cha teknolojia lazima utengeneze content kwaajili ya kusaidia potential customers kuelewa wewe ni nani na kwanini bidhaa unazouza ni muhimu wao kununua.
Ukifanya hivi unajenga Authority kila mara wanapo soma content unazo-share.
Unajua potential clients wakiwa wanaona Content zinazohusu product au service unazouza kila siku kila au kila wiki wataanza kuwa interested zaidi na bidhaa unazouza.
Watataka wafahamu zaidi. Na hapa ndiyo mwanzo wakuanza kuuza.
2 • Acha kuwa boring. Unahitaji kuwa on Fire [emoji91] online
Ngoja nikuambie kitu.
Kuna baadhi ya entrepreneur yaani wanavyoendesha Business zao nikama vile zimeshakufa tayari.
They are so fu**king boring.
Kuanzia mwonekano wa bidhaa zao, content wanazo-share yaani kila kitu kimepoa.
Unahitaji kuamka kama unaendesha Business katika namna hii.
Unahitaji kuwa aggressive.
Hii itakusaidia KUONEKANA.
Kwa mfano hapa JF kama unaweka content zako kwaajili ya Business yako inabidi ziwe Fire [emoji91]
Tofauti na hapo no one cares.
Watu wanapenda kununua kwa entrepreneur si tu wanaoelewa bidhaa au service wanazouza lakini pia walio on Fire. Wanaozungumza na kujieleza kwa kujiamini na wanafanya mambo kwa haraka na ukakika.
3 • Lipa expert atakayekusaidia kujenga strong presence online kama hutoweza mwenyewe.
Ndiyo.
Hii itakusaidia kuokoa muda na pesa.
Kwa mfano wewe huelewi lolote jinsi unavyoweza Kutengeneza content zitakazo influence wateja sasa hapa kwanini usirahisishe mambo? Unahitaji kusaidiwa kazi ifanyike kwa weledi. Kumbuka lengo ni kupata wateja si kuhangaika kila kitu unafanya mwenyewe tena bila ufanisi.
Learn to leverage other people’s time and skills.
Ukifanya hivi you will be able to scale your business in short time.
4 • Fanya biashara ile tu uliyo na Competitive Advantage.
Hapo na maanisha nini?
Namaanisha fanya biashara ile itakayokufanya uonekane wewe ndiyo mjuzi si umekuja tu kusindikiza wengine.
Kwa mfano hapa JF mimi nina competitive advantage kwenye mambo ya Online Business kwasababu tayari kwa kutumia content ambazo nimekuwa naweka hapa mara kwa mara na kwa kipindi kirefu tayari watu wanaweza kuona nipo serious na si kuja na post tatu halafu napotea.
Hii inakuwa rahisi kwangu kufanya Business na watu wanaohitaji kujenga presence Online ili waongeze sales.
Do I make sense?
I hope I do.
5 • Follow the money [emoji383]
Ngoja nikwambie kitu.
Wakati mwingine biashara yako si lazima iwe kama unavyoiendesha sasa hivi kipindi hiki unaanza.
Nikuambie tu ukianza business utagundua wateja wanataka kitu fulani cha tofauti sasa usipofuata wanachotaka wateja biashara yako itashindwa kukuwa.
Inabidi hapa mwanzo ufuate jinsi mteja anataka ahudumiwe na si idea yako jinsi unavyotaka umuhudumie.
Kumbuka kipindi chote hiki bado hujafahamu sana kama idea yako kweli inawateja.
Kuwa flexible mtu wangu.
Alright.
Ngoja niishie hapa.
Tukutane tena siku nyingine kwenye darasa amazing kama hili.
Cheers [emoji1635]
Blah blah blah nyingi hakuna cha maana, motivational speakers ifike muda muache ujinga,mnashaur vitu ambavyo hamjawah kufanya
Yan umetoa vipoint google huko unakuja kudanganya kadamnasi ma kiingereza cha form 6.
Ungekuwa karibu ningekupiga mbata
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimesoma article yako kuna mambo nimejifunza, usijibu watu wajinga wajinga.
Sent using Jamii Forums mobile app