BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Unanunua m2.5 halafu unaenda gereji kukarabati kwa m8. Daaadeck!Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watuView attachment 3288806
Mkuu Leo umetoka home na range au Benz maana sio kwa comment yako ya kibabe🤣🤣🤣Hii ingeyeyushwa kama chuma chakavu tu ,kuepusha ajali za kizembe ,#uhai kwanza##
Nimetoka na mguu bro ,sasa mguu wangu utaulinganishaje na hayo ma vyuma uliotaja kaka,?Mkuu Leo umetoka home na range au Benz maana sio kwa comment yako ya kibabe🤣🤣🤣
Ukiwa na uwezo wa kubargain hata 1.5M unamiliki ndingaKwa kweli hapo tushindwe wenyewe tu.
Unatuchora🤣🤣🤣Nimetoka na mguu bro ,sasa mguu wangu utaulinganishaje na hayo ma vyuma uliotaja kaka,?
Sina interest yoyote na hiyo gari kinachoniumiza ni watu Wanavyoteseka kizembeLIPIA TANGAZO
Unaniwekea maneno mdomoni kakaUnatuchora🤣🤣🤣
Kumiriki gari sio sawa na kumiriki simu, maintenance ya gari ni kubwa, kuna mafuta, vipuri, nk, na pls gari ya 2.5! Huo ni mkweche Mara 10000!Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watuView attachment 3288806
Kaka mimi sina gari na sina ubaya wowote ila kana hiyo ni gari nisilale na kuamka # uhai kwanza#Ukiwa na uwezo wa kubargain hata 1.5M unamiliki ndinga
Hamna kaka ni matani tu....hilo gari la million mbili likifika mpaka 2027 nitainunua😁😁😁now acha niendelee kushikilia Bomba na jogging mdog mdogoUnaniwekea maneno mdomoni kaka
Kumaintain simu ni gharama pia ukitaka kujua hilo piga hesabu bundle unalotumia kwenye mb Wacha dk na sms pia. Vits hiyo litres tatu unaweza kutumia hata siku mbili kama hauna mizunguko mingi yaani go and return maintenance ni affordable compared na usumbufu unaopatikana kwenye daladalaKumiriki gari sio sawa na kumiriki simu, maintenance ya gari ni kubwa, kuna mafuta, vipuri, nk, na pls gari ya 2.5! Huo ni mkweche Mara 10000!
Mzee urefu wa juu au wa mlalo?? Mbona ferar na rambogin ni fupi kuliko vimo vya watu wengi?Usikubali kuendesha gari unayoizidi urefu😁😁
Usikubali kuvimba kwenye gari usiloendana nalo hadhi.Usikubali kuendesha gari unayoizidi urefu😁😁