Unakubaliana na Roma!??

Unakubaliana na Roma!??

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
#BURUDANI Msanii wa HipHop @roma_zimbabwe amefunguka kuwa tafiti zake zimeonesha kuwa marehemu Albert Mangwea alikuwa anapendwa na wasanii wenzake wote hasa wa kizazi cha sasa.

"Tafiti yangu inaniambia Albert ndio msanii aliyekuwa anapendwa na wasanii wenzake wote, sio hata kwa ubora wake No basi tu nadhani life style yake na pengine hajatokea msanii mwingine mwenye hiyo Karama especially kizazi cha sasa" - ameeleza Roma
 
Vipi kama kaongea kwa kificho.. I mean unaweza tafsiri wasanii wengi wanaishi kwa kutegemea ngada!..😅
 
Back
Top Bottom