GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tukuite nani baada ya kupata ushindi kwa mkapaAnzeni sasa Kujiandaa Kulaumiana kwani leo kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE naandika hapa kuwa Unafungwa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba, 2022 huko nchini Sudan lakini unaenda Kufungwa vibaya Tanzania kwa Mkapa tarehe 23 Oktoba, 2022.
Nikisema Jambo hapa niamini 99.9%.
Mbona hujaanza kusema Uniite nani baada ya kupata Ushindi kwa Mwarabu Keshokutwa Jumapili?Tukuite nani baada ya kupata ushindi kwa mkapa
Tunza hii Thread yangu Mkuu sijakosea.Unaota wewe.
Wewe muite tu Popoma. Hilo ndilo jina lake halisi humu jukwaani. Na hata yeye mwenyewe anajivunia sana kuitwa Popoma.Tukuite nani baada ya kupata ushindi kwa mkapa
Nasema Atapigwa TuTunza hii Thread yangu Mkuu sijakosea.
Labda mkaifunge Ngaya ya comoro sio yanga hii, nafikiri unajua timu bora Tanzania ni Yanga na timu yenye kikosi bora Tanzania pia ni Yanga kwaiyo tafuta jingine la kuongea au unajifurahisha tuAnzeni sasa Kujiandaa Kulaumiana kwani leo kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE naandika hapa kuwa Unafungwa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba, 2022 huko nchini Sudan lakini unaenda Kufungwa vibaya Tanzania kwa Mkapa tarehe 23 Oktoba, 2022.
Nikisema Jambo hapa niamini 99.9%.