Unakufa ndani kwa ndani

Hao waliruka hatua, walifika hatua ya kushona sare za vitenge, shati na gauni.
Akarudi nyuma, kuja kumchumbia!!!
Pole yake mkaka, kama hiyo pisi hakuwa anachangia na Baba Mchungaji, natubu πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ukiona mwanaume ameshona kitenge sale na mkewe au mchumba wake hujue mke ndio final say kwahio mwanaume hapo hana nguvu tunategemea kuumizana kati yao
 
Wewe tena..!! Haya msharika tumekusikia
 
Ukiona mwanaume ameshona kitenge sale na mkewe au mchumba wake hujue mke ndio final say kwahio mwanaume hapo hana nguvu tunategemea kuumizana kati yao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo ndo nimeamini jf ni ya wakubwa watu wa kugreat think kwa maana ata time ya kutazama tv wana jf hawana hao ni waigizaji na iyo ni tamthilia inaoneshwa dstv chanel ya maisha magic bongo uyo jamaa anaitwa issa rito na uyo mdada ni mimi mars.
 
Mimi nilikua nawaza ni engagement? au ndo ndoa? kwamba siku hizi engagement zinafanyikia madhabahuni kabisa au mimi ndo nipo mbali kumbe ni maushenzi ya maigizo fakenn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…