Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Okay.....tamthilia iyo inaitwa jua kali na uyo mwanamke ni mimi mars.
Nmezoom naona ni mimi mars kabisa ndo nikaanza kushangaa.
Naweza kuiona wapi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay.....tamthilia iyo inaitwa jua kali na uyo mwanamke ni mimi mars.
Laana kabisaUsipende mtu mwenye tatuu hata mara moja
dstv chanel namba 160 maisha magic bongo kila j5 hadi jmos mm chanzo cha kuifatilia ni baada ya kumuona mstaafu wa Itv rainfred masako ndo main character as prof Bill mazengo.sikuwai kuwaza yule mzee siku aje awe muigizaji.Okay.....
Nmezoom naona ni mimi mars kabisa ndo nikaanza kushangaa.
Naweza kuiona wapi mkuu?
Duuuh.. si yule mzee alikua anatangaza kipindi cha kipima joto miaka fln hivi?dstv chanel namba 160 maisha magic bongo kila j5 hadi jmos mm chanzo cha kuifatilia ni baada ya kumuona mstaafu wa Itv rainfred masako ndo main character as prof Bill mazengo.sikuwai kuwaza yule mzee siku aje awe muigizaji.
Huyu pastor sasaHuwa hajamaliza
yeah hadi ze comedy wakawa wanamuigizia saut yake sasa mkuu yule mzee ni balaa katika uigizaji.Duuuh.. si yule mzee alikua anatangaza kipindi cha kipima joto miaka fln hivi?
Aisee itabidi niifuatilieyeah hadi ze comedy wakawa wanamuigizia saut yake sasa mkuu yule mzee ni balaa katika uigizaji.