Unakufa ndani kwa ndani

Okay.....

Nmezoom naona ni mimi mars kabisa ndo nikaanza kushangaa.

Naweza kuiona wapi mkuu?
dstv chanel namba 160 maisha magic bongo kila j5 hadi jmos mm chanzo cha kuifatilia ni baada ya kumuona mstaafu wa Itv rainfred masako ndo main character as prof Bill mazengo.sikuwai kuwaza yule mzee siku aje awe muigizaji.
 
Duuuh.. si yule mzee alikua anatangaza kipindi cha kipima joto miaka fln hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…