Unamkabidhi Herrera amkabe Hazard anapigwa kunzu, anuvunjika kiuno anakufaUnambetia Man united kesho thidi ya hazard ,,man united anafungwa magoal mengi mpaka unakufa
Duh. Umefikilia nini mkuu?
Unawaza meng unapata msongo wa mawazo unakunywa pombe unalewa unagongwa unakufaMkuu hii SISITV ya Leo imenifanya niwaze mengi sana mkuu
Unamwambia bae aweke mate uteleze kama nyoka pangoni, anaweka unateleza unakufa
Unachanganyikiwa unaingia club unakitana na dem mfupi amevaa red dress unadhani ni pilipili hoho unashtuka unakufaGuys have you gone insane[emoji41]?????