Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawaita wenzako insane..wanakuzingua mnapigana unakufaGuys have you gone insane[emoji41]?????
Unaona CCTV imeonyesha ground photography baada ya oblique UNAKUFA.
Unasoma pumba za wenzako jf unacheka sana unazimia unakifaHahahaa aisee hizi pumba zenu nipumzisheni maana nacheka sana hadi nahofia naweza kufa[emoji23]
Unasoma pumba za wenzako jf unacheka sana unazimia unakifa
Hahahahahahahahahh
Unawaza meng unapata msongo wa mawazo unakunywa pombe unalewa unagongwa unakufa