Unakufa Thread

Guys have you gone insane[emoji41]?????
unatuongelesha kidhungu as if umetusomesha wewe unakufa

ukiwa siriaz sana hata watoto watakukimbia nyumbani utakufa kwa kuhisi unatengwa na familia

usiogopa kufa sababu binadamu tumeumbiwa kifo
 
Unaogopa kupanda ndege isijeanguka ukafa ukiwa nyumbani kwako chumba cha maakuli unakula makange ya kuku ndege inaangukia nyumba na unakufa![emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…