Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Unajisaidia kwenye choo cha shimo, kinabomoka, unatumbukia, unakifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalala mwenyewe kitandani unashikwa na ngiri unakufa
[emoji23][emoji23]Hapana mkuuMkuu inakuhusu hii nn
Kwa kweli [emoji52]Kitambo
😂😂😂 noma sana hiiHiii unaweza lia huko kaburini
Unapata crush jf kumbe n mke wa mtu...mnakutana mume wake anawafumania anakupiga risasi unakufwa.Umepanga kutana na crush wako wa JF uliemtumia zawadi kibao PM na hela za shopping unachukua usafiri kumfuata anapoishi unapata ajali
UNAKUFA
Unakufa thirediJamani ni kitu gani hichi..!! Unakufa Unakufa. [emoji34][emoji35]
Lisasi inadunda anakufwaUnapata crush jf kumbe n mke wa mtu...mnakutana mume wake anawafumania anakupiga risasi unakufwa.
Dah watu wa humu kwa kweli mmenishinda tabiaUnapata demu mrefu anzainuA miguu juu inagusa bulb mnapigwa shoti mnakufza
Unawaombea wenzako wafe...Mara ghafla Israel mtoa roho anakutembelea usiku wa leo unashtuka unakufa.Wote mliocomment ipo siku mtakufa
Mode nakusabahiUnachepuka, unakamatwa bae anakuacha na mchepuko unakuacha unapata sonona UNAKUFA
Hahah jamaa mmoja aligongwa na gari akafa wakati tunakagua mifukoni ili tuweze kupata utambulisho wake tukamkuta na pakiti tatu za Condom.unaogopa ukimwi unatumia kinga kila game mara unatoka lodge unagongwa na gari unakufa
ShindwaaaaUnawaombea wenzako wafe...Mara ghafla Israel mtoa roho anakutembelea usiku wa leo unashtuka unakufa.
Habari yako bossMode nakusabahi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatembea haraka haraka unajikwaa unapiga pumbu chini zinapasuka unakufa
daaaaaah angejua angejikinga na gari badala ya ukimwi 😂Hahah jamaa mmoja aligongwa na gari akafa wakati tunakagua mifukoni ili tuweze kupata utambulisho wake tukamkuta na pakiti tatu za Condom.