Unakula msosi gani leo?

huouchafu siwezi kabisa kula.boramaziwa kidogo na nyama yakukaanga yakuku wakienyeji.

sipatipicha ukienda chooni namavitumbua hayo[emoji34][emoji34][emoji34]

[emoji23][emoji23][emoji23]yana shida gani mbona hamna kinachotokea
 
Mtura, chakula cha hovyo wiki iliyopita nilikuwa Arusha kikazi. Nikawa narudi nyanda za juu kusini. Yule jamaa aliyenionjesha hiki kitu pale Babari Mungu anamuona maana si kwa kuumwa kule tumbo na kuharisha japo nilioja tu hyo mtura. Sikumeza tokana na kinyaa ya yale madude wanayoyaweka kwenye huo ujinga. Nashukuru Mungu, tumbo na kuhara kukianzia tupo Nyonhoro so nikaamua kulala Iringa ili kesho niendelee na safari.
 
huo mtura unakuwa ni utumbo wa ngurue..hovyo kabisa hiyo
 
Sio wa Nguruwe bro ila ni wanyama tofauti japo sijui ndani huwa wanawekaga kitu gani. Niliukwa sana last week nilionja pale Babati Hotelini.
 
Sio wa Nguruwe bro ila ni wanyama tofauti japo sijui ndani huwa wanawekaga kitu gani. Niliukwa sana last week nilionja pale Babati Hotelini.

kweli , ndani wanaweka vinyama nyama

madhan kalibia ipo ya wanyama tofaut tofaut
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du maneno mengi watu wanahela sijui hawajui kura ona sasa wewe mwenyewe, ndio chapati gani hizi ukitoka hapo tumbo silazima liume na uharishe.. hizo chapati mbichi hazikuiva...lengine hao samaki uliotaja mbona hawamo ktk samaki wazuri...bahari ipo hapo unakura samaki wa majibaridi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…