Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
- #61
Mkuu kwanini usingeiweka kule kwenye uzi wetu uzi wa vyakula tu??
Sijauona mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwanini usingeiweka kule kwenye uzi wetu uzi wa vyakula tu??
huouchafu siwezi kabisa kula.boramaziwa kidogo na nyama yakukaanga yakuku wakienyeji.
sipatipicha ukienda chooni namavitumbua hayo[emoji34][emoji34][emoji34]
urojo upatie mixing hizo bajia chauro
unajaza choo mkuu.kula vitamin usilehuo uchafu
Mtura, chakula cha hovyo wiki iliyopita nilikuwa Arusha kikazi. Nikawa narudi nyanda za juu kusini. Yule jamaa aliyenionjesha hiki kitu pale Babari Mungu anamuona maana si kwa kuumwa kule tumbo na kuharisha japo nilioja tu hyo mtura. Sikumeza tokana na kinyaa ya yale madude wanayoyaweka kwenye huo ujinga. Nashukuru Mungu, tumbo na kuhara kukianzia tupo Nyonhoro so nikaamua kulala Iringa ili kesho niendelee na safari.PAGE II
Vyakula vinavoninyima usingizi
7.Mtura
Aisee ukute waporipori wanaojua kuipika na kuitengeneza hii hutakaa usahau.
Angalizo: ukila ambayo haijatengenezwa vizuri unaweza ukaudhika sana
View attachment 2851797
8.Urojo
Mi nimezaliwa mikoani.Hamna kitu tulikua tuna dis (ponda) ingawa tulikua hatukijui jina tu tulikua tunadhani ni chakula mlegeo lakini nilivokuja pwani nikasema ebu nikitafute.Nilipopata trip ya bagamoyo nikasikia sehemu kwa mpemba wanauza nikaagiza aisee sikuchukia maamuzi yangu
View attachment 2851798
Kama hujaonja hii misosi itafute
#Kwachochote_unachopitia_usiache_kula
huo mtura unakuwa ni utumbo wa ngurue..hovyo kabisa hiyoPAGE II
Vyakula vinavoninyima usingizi
7.Mtura
Aisee ukute waporipori wanaojua kuipika na kuitengeneza hii hutakaa usahau.
Angalizo: ukila ambayo haijatengenezwa vizuri unaweza ukaudhika sana
View attachment 2851797
8.Urojo
Mi nimezaliwa mikoani.Hamna kitu tulikua tuna dis (ponda) ingawa tulikua hatukijui jina tu tulikua tunadhani ni chakula mlegeo lakini nilivokuja pwani nikasema ebu nikitafute.Nilipopata trip ya bagamoyo nikasikia sehemu kwa mpemba wanauza nikaagiza aisee sikuchukia maamuzi yangu
View attachment 2851798
Kama hujaonja hii misosi itafute
#Kwachochote_unachopitia_usiache_kula
huo mtura unakuwa ni utumbo wa ngurue..hovyo kabisa hiyo
Sio wa Nguruwe bro ila ni wanyama tofauti japo sijui ndani huwa wanawekaga kitu gani. Niliukwa sana last week nilionja pale Babati Hotelini.
Upo huku mkuu?Njoo hapa Westgate mkuu au sema sehem ulipokosea nije kukuchukua saivi
ndio..huo utumbo huwa wa ngurue hovyo sana hayo madudeHapana mkuu
Mtura inasagwa nyama halafu inawekwa kwene utumbo kisha inachombwa inakua balaa
tamuu sema vina garama sana
PAGE I
Chakula ukikizingatia unaweza kuenjoy sana maisha siyo kula kula tu. Ila jua nini wewe roho yako inapenda na unataka uleje na kipikweje.
Wapo watu wengi wana hela ila hawaenjoy kabisa maana hawajui chakula kizuri kinapatikana wapi au kinatengenezwaje! Binafsi nimepata tabu sana kujifahamu kwenye chakula kwasababu nachukia sana vyakula vile vya routine kama ugali sijui wali nk.
Mi misosi yangu ni
1. Mtori wa nyama [emoji39]
2. Supu ya kuku
3. Supu ya samaki Sato au sangala
4. Nipate tikikiti maji
5. Soseji
6. Maboga ya kuchemsha (mara nyingi huyaona hotelini)
Tuambie wewe unakula nini leo? Uwasaidie wasiojua wale nini na pesa wanayo?
View attachment 2851550
shayiri nahisi ndio tunaitaga unga wa atta kwamba hio oat ikisagwa huo unga tunaita unga wa ata hatachapat zake ni tamView attachment 2851814
View attachment 2851815
nimeambiwa Oats zinapunguza uzito na unene !
kwakiswahili ni kitu gan
shayiri nahisi ndio tunaitaga unga wa atta kwamba hio oat ikisagwa huo unga tunaita unga wa ata hatachapat zake ni tam
ndio..huo utumbo huwa wa ngurue hovyo sana hayo madude
super markets unaweza sema unga wa lisheunapatikana wap huu sijawai ata uona
Du maneno mengi watu wanahela sijui hawajui kura ona sasa wewe mwenyewe, ndio chapati gani hizi ukitoka hapo tumbo silazima liume na uharishe.. hizo chapati mbichi hazikuiva...lengine hao samaki uliotaja mbona hawamo ktk samaki wazuri...bahari ipo hapo unakura samaki wa majibaridi??View attachment 2851532
Leo nashindia hizi