Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Nilikua najiuliza kwanini belle aliumiza vile nikajua labda Pina alimtisha [emoji23]
Hata Mimi niliwahi waza hivyo mkuu, maana ile "Nimezaliwa miaka ya sabini, mtoto wa tisini unadhani utaniambia nini....." [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata Mimi niliwahi waza hivyo mkuu, maana ile "Nimezaliwa miaka ya sabini, mtoto wa tisini unadhani utaniambia nini....." [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah!! Vers ya pili ya pina inavyoanza sasa [emoji119][emoji119]
 
Kuna mwanangu mmoja wakati tupo o levo siku hiyo ticha wa kiswahili alikuwa anafundisha masuala ya mashairi. Akauliza nani anaweza kutughania mashairi anayoyajua jamaa yangu akaenda mbele aanze kughani mashairi. Akachana ngoma ya pina siijui jina ila baadhi ya mistari yake ni hii"Nakunya nyie mtazoa..nawasha kama chavi chavi"
Watu walicheka na kuburudika saaana ticha hakuelewa ile ngoma akabaki kumsifia mchizi kwa mashairi.
 
Umoja ni nguvu inaitwa
 
Enzi za "asie husika ashuke" miaka ya 2011 uyu jamaaa n mtemi saana
 
Kuna kipindi nakumbuka Pina alilainisha akapiga ngoma inaitwa Good time alimshirikisha Ommy Dimpoz....

Siku anatambulisha ile ngoma Radioni nakumbuka alipiga mikwara kwa maDjz kua....

''Hampigi ngoma zetu mnasema ngumu sana alafu tukiwapiga mnalalamika, haya sasa nimefanya laini msipige tena tunaanza kuwadunda tu''

[emoji3][emoji3]
 
Hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…