Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Kwani jamaa huwa ana udini?
Sana kuna mstari kwenye wimbo wa lawama anasema sema "siabudu msalaba na wala sili nguruwe, huwa anapenda Sana kutetea uislam na kuuponda ukristo
 
Sana kuna mstari kwenye wimbo wa lawama anasema sema "siabudu msalaba na wala sili nguruwe, huwa anapenda Sana kutetea uislam na kuuponda ukristo
Hahah lakini mbona haina noma sana mana kasema vile vitu ambavyo kweli hafanyi
 
Hahah lakini mbona haina noma sana mana kasema vile vitu ambavyo kweli hafanyi
Akitokea rapa mkristo akasema"nakula nguruwe na simpigi shetani mawe lazima waislamu wangekasirika
 
Akitokea rapa mkristo akasema"nakula nguruwe na simpigi shetani mawe lazima waislamu wangekasirika
Inahitajika uwe na imani kubwa sana ili kukelwa na maneno kama hayo ila poa nimekuelewa bora kutosema kabisa ili kuepuka kero kama hizi
 
Kuna lile dundo lake moja asiekubali kushindwa kaongea vitu vingi sana mule.ukiachilia mbali mapungufu madogo madogo yakibinaadamu jamaa alijitahidi kusimama kwenye misingi ya kiaharakati.
 
Kuna lile dundo lake moja asiekubali kushindwa kaongea vitu vingi sana mule.ukiachilia mbali mapungufu madogo madogo yakibinaadamu jamaa alijitahidi kusimama kwenye misingi ya kiaharakati.
Nikweli mkuu
 
Huo wimbo kuna kipindi nilikuwa nao kwenye pc, sema file nililosave nyimbo za zamani virus walikula, Belle aliimba bonge la chorus nadhani alikuwa anahofia kichapo
Mwenyewe nilikuaganao kwenye simu na niliupata mitandaoni tu sema sijui imekuaje tena haupatikani....

Balle alikaza sana mkuu itakua alihofia kweli makofi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kimtazamo naweza sema Bou Nako yupo vizuri zaidi ya Fido kwa sababu wana-train pamoja hapa kaloleni na watu wanawaona, bou ana mapigo fulani hivi ya hatari sana..bou mpangoooooo
Ila nasikia fido ana mguu wa kuku
 
Pina mtoto mdogo sana tulize Sisi wakongwe wa huko block enzi tangia kundi lililokuwa linaitwa Indiana polis kaka zake pina walikuwepo humo enzi Hizo hakuna kitu kinaitwa kikosi kwanza pina ni muoga wa askari sana sana alikuwa anawapiga watoto mgoba saba tu n'a kuwateka

Ova
nani mbabe wa kino now??
 
Anayejua kilichotokea kati ya Pina na Dudubaya atupe story, maana kila mtu anazungumza lake. Nikimnukuu Dudubaya kwenye interview zake kadhaa anasema tangu azaliwe hajawahi kupigwa wala kupigana, yeye huwa anapiga tu
Walitemeana tu maneno hawakupigana wala nini..
 
Kuna ngoma ya kikosi walimshirikisha Belle 9 inaitwa *maisha yangu nyimbo tosha* ilikua ni ngoma kali sana ila sikuwahi kusikia ikipigwa redioni labda kwasababu ya ukali wa maneno ya Pina
Hiyo ilikuwa inapigwa radio one tu...hahaa...ndio nyimbo ya kwanza namsikia belle 9 kabla hata ya masogange...ila bonge la nyimbo
 
Kalapina alikuwa zamani mstari wa mbele,umoja ni nguvu,machafuko kwenye fani,hiphop bila madawa,africa 2003-2008 baada ya hapo kasanda kawa ndondocha(NYUMBU).
 
Back
Top Bottom