Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Hashim Dogo ana mishe gani???
 
Nyimbo ya Dira ilikaa namba moja ktk Bamiza kwa mwezi mzima nasema kwa mwezi mzima sikuwai...sijawai na sijui itatokea tena kwa nyimbo ya hipohop ngum kukaa kwa mwezi mzima ktk top radio steshen kama ilivyokuwa kipindi kile
Radio gani
 
Kisa cha Pina kuachana na hizo tabia zake za kibabe na uhuni aliokuanao zamani ni askari ambae alikua anadeal na wale watu manunda mitaana, kama ni mtu wa kukaa maskani utakua unajua aina hii ya maaskari yaani anatimba maskani yeyote ile na mkibisha mnapigana na unaambulia kichapo tu.

Kwamfano sisi tunaokaa ukanda huu wa Ukonga pale kituo cha Sitaki Shari kuna jamaa Anaitwa Rando, huyu jamaa ni aina hiyo ya askari aliembadiri Pina kitabia..

Sasa yule askari alikua anamsumbua sana Pina na Pina mwenyewe anakiri kua ata angesema asimame na jamaa kutupa mikono basi asingemuweza maana jamaa alikua fit hatari na yeye hakutaka kumfikisha Pina mbali zaidi alimua kama anampa ushauri tu kua aachane na tabia anazozifanya....

Alimshauri kama anapenda ubabe na kupigana kwanini huko kupigana asikufanye mtaji yaani kumuingizie pesa kuliko kufanya kiharifu, basi ule ushauri aliuelewa sana ndio akajiingiza kwenye mchezo wa boxing. Kwa wale wapenzi wa huu mchezo basi mtakua mmeshamuona Pina majukaani mara kadhaa akizichapa....
 
Hivi hamna dj mfano kina mafuvu ambae alishapigwa na pina kwa kuto play ngoma zake?
 
Aliwahi tuma posa kwa Mr Blue, Aliwahi mteka Solo Thang
Ila inasemekana aliwahi kupimwa tezi dume na mr blue[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi record yake ulingoni ipoje
 

Alakati mkuu au Harakati?
 
Hivi record yake ulingoni ipoje
Sijawahi kufatilia record yake kwa ujumla ila hiyo picha hapo chini ilikua ni mwanzoni mwa mwaka 2014 alikua na pambano ila mpinzani wake alimimbia hakutokea ulingoni...

Pina aliomba Mic na kutangaza kutaka pambano na Jephet Kaseba na baada ya hapo alivua Groves akaanza kushusha michano kidogo...
 
Ilikuwa Noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…