Unakumbuka jina lake?Jamaa alitufanya wengine tuwe tunajifunika shuka mpaka kwenye unywele wa kichwa wa mwisho kuogopa wenda anakuja ndani🤣

Unakumbuka jina lake?Jamaa alitufanya wengine tuwe tunajifunika shuka mpaka kwenye unywele wa kichwa wa mwisho kuogopa wenda anakuja ndani🤣

Duuu, watu kumbe ni wa juzi tu, yaani nsyuka inatoka mi ndio nawatishia watoto kumbe watoto wenyewe ndio nyie, enzi zangu nilikuwa naogopa Dracula na wimbo wa Michael Jackson thriller
Nakumbaka Thriller inatoka nmekaa ktaa miaka mitatu baada ya kumalza lasaba....šŸƒšŸƒ
 
Back
Top Bottom