Nilishawahi shusha uzi umu way back, kipindi hicho nipo apeche alolo ukinikung'uta natoa unga kama shuka la mashineni lkn wkt huo wife yupo kwenye pick.
Ktk kauli mbovu ambayo niliwahi kutamkiwa na wife ni " ningekuwa mwanaume ningekuoa mm" hii yote kwa sababu uchumi uliyumba.[emoji51]
Unajua nn now, mungu mkubwa ss nime bounce back nipo kampuni moja ya wazungu vidolali havichezi mbali mambo yapo super tena kushinda zamani[emoji123][emoji898][emoji483].
Wife alishafulia mambo yake yapo mrama lkn mm nimemsamehe na tupo pamoja heshima iliyopotea imerudi ss sijui kwa sababu nipo vizuri na yy kachapika lkn I don't care tupo tunatunza familia[emoji123][emoji123].