Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Hiyo sio heshima sasa. Sema uoga uliopotea umerudi tena. Mtu anayekudharau huwa hajifichi.
 
Mlitaka 50/50 halafu hamtaki kuchangia bills
Hata mimi sikubaliani na unyanyasaji kama ndio tunaozungumzia

Lakini kushare kipato chako(sio kulea mwamaume) hilo ni lazima ama sivyo utafanya mambo kuwa magumu
Mmmmmh una nini wewe hata kwenye vitabu vya dini vinasema jasho la mwanamke ni miliki yake, alichokitafta mwanamke ni chake .

lakini utafutaji mwanamme ni kwa familia, so huwezi ukamlazimisha mwanamke atoe chake ,ila anaweza akachangia kwa hiari yake.

Nimewasilisha.
 
Ndio tatizo kubwa la wanawake wengi wa kiafrika walivyo. Wengi wao wakipata ahueni kidogo basi dharau kibao. Ukikulia na ukafundishwa kwenye maisha ya kuheshimu kila binadamu bila kujali hali yake etc hutakaa utoe matusi au lugha ya kejeli kwa yeyote yule. Huwa nash1ngaa mtu ambaye anatolea mpenzi wake maneno machafu, ukiona hivyo humendwi, wewe ni daraja tu au amekosa mbadala
 
Kadiri tunavyokua aisee nimekubali busara ndo zinazidi. Yaaan kuna baadhi ya maneno tulizoea kuyatamka kwa wengine lakini sasa hivi unasema aisee maneno haya yalikua makaki sana na huwezi yarudia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…