Unakumbuka kazi za hawa wakulungwa wa Uganda

Unakumbuka kazi za hawa wakulungwa wa Uganda

P unit_brasha shaa me mkale,
Umekumbusha mbali mkuu

Lete na za wakenya wakina Big pin, Nyashinski, Juacali, Sana, Prezzo, Nameless, Ngoni nk
 
Ngoma yangu pendwa ya Radio na Weasel ni Bread and Butter na Zuwena

Halafu Mwamba Bebe Cool akiwa na kina Naziz na Wyre KUBE ilibamba sana...
Bebe Cool mpaka sasa anaachia ma hit songs kama Mbozi Za Malwa akiwashirikisha Sauti Sol


Bwana Jose Chameleone umesahau Goma la wakati wote hapo JAMILA, enzi zile mabinti wakiimba Jamila analia Bwana wake amemuacha sasa wamekua wakubwa wao ndio Kina Jamila wenyewe..... https://jamii.app/JFUserGuide life [emoji3]

Ziggy Dee na Enomic ilikua ni EAC ANTHEM


Juliana Kanyomozi na Nabikoowa

Navio Mkali wa Hip Hop.
 
David Lutalo ana mengi ya kumuelezea umemuelezea kiduchu sana

Jamaa alikuwa na utofauti na wenzake kwenye sauti
 
radio and weasal mayanja kuna mikwaju yao inaitwa Ability na bread and butter hii mikwaju n classics had kesho
 
P unit_brasha shaa me mkale,
Umekumbusha mbali mkuu

Lete na za wakenya wakina Big pin, Nyashinski, Juacali, Sana, Prezzo, Nameless, Ngoni nk
Big Pin ft Sanapei Tande -You huo wimbo ulikuwa mkali Sana
 
Back
Top Bottom