Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 8,105
- 20,307
Mara tu baada ya kushika madaraka mwaka 2021 haikuchukua muda ukamtumbua aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya kwa kumsimamisha kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zilizokuwa zinamkabiri.
Lengai Ole Sabaya alifikishwa mahakamani na kesi kuendelea kisha kuhukumiwa miaka 30 jela, bahati nzuri alikata rufaa na kushinda hivyo kuachiliwa huru.
Hata wewe Rais Samia baada ya kuachia urais kuna tuhuma mbalimbali zinazokukabiri ikiwemo kukabidhi nchi kwa wageni, utekaji na mauaji ya watanzania October 29.
Njia ileile uliyompitisha Sabaya mwaka 2021 na wewe utaipita na kizazi chako.