Unakumbuka kikombe ulichomnyweshea Lengai Ole Sabaya? Na wewe kinakusubiri

Umenena vyema
 
Samia hawezi kukwepa hukumu baada ya kumaliza muda wake wa urais, njia pekee ya kukwepa hukumu ya matendo yake ni yeye kunywa sumu afe kabla mkono wa sheria haujamfikia.
 
Katiba ukiibadilisha inaanza kutumika siku ile ilipoanza
Hauwezi kumshtaki mtu kwa katiba mpya wakati aliongoza kwa mfumo wa katiba nyingne.
Hyo tutaiona tz, MUNGU atupe uhai.
Mkuu inawezekana.
Ila kwa TZ ngumu raisi kumshitaki raisi aliyepita.
 
Mkuu anashitakiwa na kuadhibiwa kana raia yeyote.

Hizi katiba zinazowalinda hufanyiwa ammendment na kinga kuondolewa.

Mifano ipo mingi katika nchi mbalimbali ambazo siwez kuzitaja.
Naelewa hilo lakini bado katiba haijarekebishwa. Na hawatarekebisha hicho kipendele kwa kuhofia kushtakiwa
 
Sabaya alikuwa mshenzi Bora hata Samuya
Sabaya aliyekata watu mikono, kupora pesa n. Sio mtu wa kuchelewa.
Baada ya katiba mpya kesi ya Sabaya itarejewa ili ahukumiwe kunyongwa
 
Maisha hua yako kasi sana. Yani huo wakati utafika na hatoamini kama mambo yanabadilikaga kama usiku na mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…