Unakumbuka kikombe ulichomnyweshea Lengai Ole Sabaya? Na wewe kinakusubiri

Una uhakika Sabaya alionewa ?..
 
Sabaya alikuwa mshenzi Bora hata Samuya
Sabaya aliyekata watu mikono, kupora pesa n. Sio mtu wa kuchelewa.
Baada ya katiba mpya kesi ya Sabaya itarejewa ili ahukumiwe kunyongwa
Ulipoitwa mahakamani ukatoe ushahidi hukuenda
 
Naelewa hilo lakini bado katiba haijarekebishwa. Na hawatarekebisha hicho kipendele kwa kuhofia kushtakiwa
Kwani ni wao tena, wameshindwa hata kubadili tu hii katiba ya wananchi!
Mambo ya amendment hufanywa na watawala serious, ama yakifanyika mageuzi ya kiutawala na kimfumo.
 
Kwani ni wao tena, wameshindwa hata kubadili tu hii katiba ya wananchi!
Mambo ya amendment hufanywa na watawala serious, ama yakifanyika mageuzi ya kiutawala na kimfumo.
Uko sahihi
 
Mkuu umekatwa mabawa!

Enz za jiwe ulipepea kama njiwa kwa matus mazito bila kujal kuna kesho pia

Uzuri umejifunza ving KARIBU TUIPAMBANIE NCHI YETU hata rofa LUCA MWASHAMBA ataujua ukwel atajiunga
Lengai Ole Sabaya rukaruka na kushangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…