mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Nilikuwa na miaka 10 tu enzi hizo lakini nilienjoy sana kuangalia boys boys.Mm nakumbuka tamthilia zao Ile ya wild heart na la patrona. Pia kipind sijui kile kinakufanya hbr ya mtandaoni yn wanazijadili mtangazaji alikua Mimi mars
Ewaaa yn hbr zote zilizokua zinatrend mtandaoni alikua anazileta. Yn hta ukiwa huna bando hbr hazikupiti kbsMimi mars kipindi hicho alikuwa mtangazaji wa kipindi cha gossip
Ili uzwa kwa kwese sport tv, ila dah walikuwa mbele ya wakati.Nilikuwa na miaka 10 tu enzi hizo lakini nilienjoy sana kuangalia boys boys.
Alehandro wa La Patrona del mor na Maricruz wa Corazon indomable nawakumbuka, nilikuwa nawahi kurudi nyumbani nikitoka shule niwaangalie.
Ile blind date ya mimi mars nayo ilibamba sana.
TV1 sijui walipatwa na nini aisee.