Wengi wameshangazwa na matokeo ya jana Wigan kumfunga Man City 1-0. Lakini mwaka 2013 kwenye fainali za FA kati ya timu mbili hizo Wigan alimfunga City 1-0 na kutwaa kombe huku Zabaleta akitolewa kwa kadi nyekundu. What is coincidence? tazama video hapo chini