Unakumbuka mechi ya FA Final Wigan Vs Man city 2013?

Cicadulina

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
977
Reaction score
2,370
Wengi wameshangazwa na matokeo ya jana Wigan kumfunga Man City 1-0. Lakini mwaka 2013 kwenye fainali za FA kati ya timu mbili hizo Wigan alimfunga City 1-0 na kutwaa kombe huku Zabaleta akitolewa kwa kadi nyekundu. What is coincidence? tazama video hapo chini

Wigani hii sio ya sasa kwa kikosi alichonacho Man City ila ndio hivyo Uingereza kama kuna laana team ikiwa inaifunga team inakuwa kama jadi kama vili kilichomkuta Mou kwa NEW CASTLE wiki iliyopita maana Mou ajawai shinda ST JAMES
 
Back
Top Bottom