Unakumbuka MV Bukoba basi hapa Tanzania msitake sifa hapa JF

Unakumbuka MV Bukoba basi hapa Tanzania msitake sifa hapa JF

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
ILIVYOTOKEA AJALI YA BOTI.

KULINGANA na Hussein Ajali "Chishango" aliyekuwa anaendesha Boti amesema Engine zote 2 za Boti zilizima wakawa wanapelekwa tu na mkondo sehemu ambayo hakuna mawasiliano ya simu, bahati nzuri wale wazungu mmoja simu yake ilikuwa na internet ndo akatuma email ubalozini na WhatsApp call na akatuma location waliyopo so searching ikaanzia kwenye last location.

Pia amesema wameokolewa na maboti kutoka upande wa Tanzania wakiwemo wanajeshi wa Navy, upande wa Malawi nao ulikuwa unawatafuta ila waliowaona na wa upande wa Tanzania lakini walikuwa kwenye maji ya Malawi."

🙏 Shukrani kwa wote waliohusika katika uokoaji huu.
🙏Pongezi Kwa serikali ya Tanzania kwa jitihada hizi za kuokoa maisha yao.

UJUMBE;
INTERNET NI KIUNGO MUHIMU CHA USALAMA.
FB_IMG_1785264784768.jpg
 
Internet inaokoa maisha. Ila wajinga wanaizima kwa maslahi yao.
Mara waipunguze spidi ila hii dunia kuna watu mapunga alafu wamekabidhiwa vitengo nyeti sana.
Badala ya kuitumikia jamii kwa weledi wao wanajiinua na kutaka kutukuzwa
 
  • Thanks
Reactions: apk
Ndo maisha we know not what the future holds
 
  • Thanks
Reactions: apk
ILIVYOTOKEA AJALI YA BOTI.

KULINGANA na Hussein Ajali "Chishango" aliyekuwa anaendesha Boti amesema Engine zote 2 za Boti zilizima wakawa wanapelekwa tu na mkondo sehemu ambayo hakuna mawasiliano ya simu, bahati nzuri wale wazungu mmoja simu yake ilikuwa na internet ndo akatuma email ubalozini na WhatsApp call na akatuma location waliyopo so searching ikaanzia kwenye last location.

Pia amesema wameokolewa na maboti kutoka upande wa Tanzania wakiwemo wanajeshi wa Navy, upande wa Malawi nao ulikuwa unawatafuta ila waliowaona na wa upande wa Tanzania lakini walikuwa kwenye maji ya Malawi."

🙏 Shukrani kwa wote waliohusika katika uokoaji huu.
🙏Pongezi Kwa serikali ya Tanzania kwa jitihada hizi za kuokoa maisha yao.

UJUMBE;
INTERNET NI KIUNGO MUHIMU CHA USALAMA.View attachment 3638838
Boti hii ilianza safari Mbambabay ikienda Malawi Nkatabay siku ya Jumapili, inaelekea hawakutoa muda wa kuananza safar na muda tarajiwa wa kufika. Kwa wale wanaolijua Ziwa Nyasa ni kwamba pande zote mbili zinaonekana kwa mbali, kama wangefanya kutoa taarifa ya makadirio ya muda huenda utafutaji ungeanza siju hiyohiyo badala ya siku mbili kama ilivyotokea.
 
Back
Top Bottom