Mara waipunguze spidi ila hii dunia kuna watu mapunga alafu wamekabidhiwa vitengo nyeti sana.Internet inaokoa maisha. Ila wajinga wanaizima kwa maslahi yao.
umepigaje hapo ?na WhatsApp call
Wewe lazima unatokea mikoani huko maporinibahati nzuri wale wazungu mmoja simu yake ilikuwa na internet ndo akatuma email ubalozini na WhatsApp call
Kwa huku kwetu wanakagua kama kinawaka na kuondoka tu.Hawa wamiliki wa vyombo vya majini huwa wanakagua vitu gani kabla ya kuruhusu abiria kupanda?
Hajui kama watu mnakula😆😆😆Hata kama mna visa vyenu binafsi kupost picha ya mavi ndio nini sasa?
Dar hamna maporini?Wewe lazima unatokea mikoani huko maporini
As long as kinawaka we are good to go 😁Kwa huku kwetu wanakagua kama kinawaka na kuondoka tu.
Boti hii ilianza safari Mbambabay ikienda Malawi Nkatabay siku ya Jumapili, inaelekea hawakutoa muda wa kuananza safar na muda tarajiwa wa kufika. Kwa wale wanaolijua Ziwa Nyasa ni kwamba pande zote mbili zinaonekana kwa mbali, kama wangefanya kutoa taarifa ya makadirio ya muda huenda utafutaji ungeanza siju hiyohiyo badala ya siku mbili kama ilivyotokea.ILIVYOTOKEA AJALI YA BOTI.
KULINGANA na Hussein Ajali "Chishango" aliyekuwa anaendesha Boti amesema Engine zote 2 za Boti zilizima wakawa wanapelekwa tu na mkondo sehemu ambayo hakuna mawasiliano ya simu, bahati nzuri wale wazungu mmoja simu yake ilikuwa na internet ndo akatuma email ubalozini na WhatsApp call na akatuma location waliyopo so searching ikaanzia kwenye last location.
Pia amesema wameokolewa na maboti kutoka upande wa Tanzania wakiwemo wanajeshi wa Navy, upande wa Malawi nao ulikuwa unawatafuta ila waliowaona na wa upande wa Tanzania lakini walikuwa kwenye maji ya Malawi."
🙏 Shukrani kwa wote waliohusika katika uokoaji huu.
🙏Pongezi Kwa serikali ya Tanzania kwa jitihada hizi za kuokoa maisha yao.
UJUMBE;
INTERNET NI KIUNGO MUHIMU CHA USALAMA.View attachment 3638838