Duuu! Haya mkuuSijawahi kuipenda hata moja kati ya hizo. Nilikuwa naipenda new castle united ikanizingua nikahamia Liverpool
Hukutakiwa kujibu kwa sababu hauhusiki, ume fail instruction.Sijawahi kuipenda hata moja kati ya hizo. Nilikuwa naipenda new castle united ikanizingua nikahamia Liverpool
Mmmh. Sa wa kile Chama PENDWA vp!Hukutakiwa kujibu kwa sababu hauhusiki, ume fail instruction.
Mtoto anapozaliwa Tanzania anakuwa shabiki wa Simba moja kwa moja.
Kuna wakati uharibifu katika malezi hutokea ndiyo mtoto anatokea kupenda kijani na njano. Ni hilo tu.
UmetishaHukutakiwa kujibu kwa sababu hauhusiki, ume fail instruction.
Mtoto anapozaliwa Tanzania anakuwa shabiki wa Simba moja kwa moja.
Kuna wakati uharibifu katika malezi hutokea ndiyo mtoto anatokea kupenda kijani na njano. Ni hilo tu.
safi sana hata mimi nimelazimisha familia yangu wote ni simba na LiverAsilimia kubwa ya familia na ukoo wangu ni wapenzi wa Simba Sports Club. Kwahio moja kwa moja unakuwa mpenzi wake. Halafu kwa sababu wazazi wangu wanatoka mkoa wa Tanga, wengi wetu pia ni wapenzi wa Coastal Union. Ingawa nilikuja kucheza kikapu kwa muda mrefu, sijaacha kuishabikia Simba. Ingawa ninaishi nje ya nchi kwa miaka 20 sasa, sijachoka kuishabikia timu yangu. Ninajua habari za simba zaidi kuliko hata watu waliopo Tanzania!!! Naipenda sana hii timu. Ninaamini na mabadiliko ya mfumo wa kuiongoza timu kiuchumi, si muda mrefu tutarudisha makali yetu.
Amavubi mie pia ninaipenda sana Liverpool kwa timu za nje. Ngoja nikuelezee ilikuwaje. Nilikuwa nasoma Upanga primary school miaka ya themanini (1982 mpaka 1988). Tulikuwa mara nyingi tunaruka ukuta na kwenda maktaba kuu pale pembeni yake kusoma vitabu. Walikuwa wanayo magazeti ya nje mengi hususani ya Uingereza. Kila ukisoma upande wa michezo ilikuwa ni Liverpool kashinda kila wakati!!!. Kumbuka Liverpool ndio timu iliyokuwa tishio sana miaka ya themanini (enzi za akina Bruce Grobbelaar, Steve Nichol, Alan Hansen, Ian Rush, John Barnes, Peter Beardsley, Steve McMahon, Steve Staunton, John Aldridge, etc.). Jumuisha na rangi zao nyekundu na rangi za timu yangu ya Simba, kuishabikia ikawa inaendana vizuri!! Nimekuwa mshabiki wao toka wakati ule, ingawa nao kama Simba tuna maumivu ya muda mrefu.safi sana hata mimi nimelazimisha familia yangu wote ni simba na Liver
ukiwa shabiki wa simba ama Liver basi hata kwenye maisha ujue wewe ni mgumuAmavubi mie pia ninaipenda sana Liverpool kwa timu za nje. Ngoja nikuelezee ilikuwaje. Nilikuwa nasoma Upanga primary school miaka ya themanini (1982 mpaka 1988). Tulikuwa mara nyingi tunaruka ukuta na kwenda maktaba kuu pale pembeni yake kusoma vitabu. Walikuwa wanayo magazeti ya nje mengi hususani ya Uingereza. Kila ukisoma upande wa michezo ilikuwa ni Liverpool kashinda kila wakati!!!. Kumbuka Liverpool ndio timu iliyokuwa tishio sana miaka ya themanini (enzi za akina Bruce Grobbelaar, Steve Nichol, Alan Hansen, Ian Rush, John Barnes, Peter Beardsley, Steve McMahon, Steve Staunton, John Aldridge, etc.). Jumuisha na rangi zao nyekundu na rangi za timu yangu ya Simba, kuishabikia ikawa inaendana vizuri!! Nimekuwa mshabiki wao toka wakati ule, ingawa nao kama Simba tuna maumivu ya muda mrefu.
Amavubi mie pia ninaipenda sana Liverpool kwa timu za nje. Ngoja nikuelezee ilikuwaje. Nilikuwa nasoma Upanga primary school miaka ya themanini (1982 mpaka 1988). Tulikuwa mara nyingi tunaruka ukuta na kwenda maktaba kuu pale pembeni yake kusoma vitabu. Walikuwa wanayo magazeti ya nje mengi hususani ya Uingereza. Kila ukisoma upande wa michezo ilikuwa ni Liverpool kashinda kila wakati!!!. Kumbuka Liverpool ndio timu iliyokuwa tishio sana miaka ya themanini (enzi za akina Bruce Grobbelaar, Steve Nichol, Alan Hansen, Ian Rush, John Barnes, Peter Beardsley, Steve McMahon, Steve Staunton, John Aldridge, etc.). Jumuisha na rangi zao nyekundu na rangi za timu yangu ya Simba, kuishabikia ikawa inaendana vizuri!! Nimekuwa mshabiki wao toka wakati ule, ingawa nao kama Simba tuna maumivu ya muda mrefu.
Mkuu, hebu jitahidi uwe unapita kule kwenye uzi wa chama la kijanja Liverpool.Amavubi mie pia ninaipenda sana Liverpool kwa timu za nje. Ngoja nikuelezee ilikuwaje. Nilikuwa nasoma Upanga primary school miaka ya themanini (1982 mpaka 1988). Tulikuwa mara nyingi tunaruka ukuta na kwenda maktaba kuu pale pembeni yake kusoma vitabu. Walikuwa wanayo magazeti ya nje mengi hususani ya Uingereza. Kila ukisoma upande wa michezo ilikuwa ni Liverpool kashinda kila wakati!!!. Kumbuka Liverpool ndio timu iliyokuwa tishio sana miaka ya themanini (enzi za akina Bruce Grobbelaar, Steve Nichol, Alan Hansen, Ian Rush, John Barnes, Peter Beardsley, Steve McMahon, Steve Staunton, John Aldridge, etc.). Jumuisha na rangi zao nyekundu na rangi za timu yangu ya Simba, kuishabikia ikawa inaendana vizuri!! Nimekuwa mshabiki wao toka wakati ule, ingawa nao kama Simba tuna maumivu ya muda mrefu.