Unakumbuka ni Kitu Gani Kilikufanya Uipende Moja ya Timu Hizi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
13892376_1767554100127105_156573998433133304_n.jpg
 
Sijawahi kuipenda hata moja kati ya hizo. Nilikuwa naipenda new castle united ikanizingua nikahamia Liverpool
 
yanga niliipenda tu hata sijui kwa nini, ilikuwa ikifungwa naumia nikagundua naipenda japo sifuatilii sana mpira wa bongo
 
Sijawahi kuipenda hata moja kati ya hizo. Nilikuwa naipenda new castle united ikanizingua nikahamia Liverpool
Hukutakiwa kujibu kwa sababu hauhusiki, ume fail instruction.

Mtoto anapozaliwa Tanzania anakuwa shabiki wa Simba moja kwa moja.

Kuna wakati uharibifu katika malezi hutokea ndiyo mtoto anatokea kupenda kijani na njano. Ni hilo tu.
 
Mmmh. Sa wa kile Chama PENDWA vp!
 
nilizaliwa na damu nyekundu mojakwa moja nikaipenda SIMBA
 
Hukutakiwa kujibu kwa sababu hauhusiki, ume fail instruction.

Mtoto anapozaliwa Tanzania anakuwa shabiki wa Simba moja kwa moja.

Kuna wakati uharibifu katika malezi hutokea ndiyo mtoto anatokea kupenda kijani na njano. Ni hilo tu.
Umetisha
 
Niliamua tu kua tofauti na mzee wangu hivyo yeye akiwa simba mim Yanga
Yeye liverpool mim Man untd
Yeye Real madrid mim Fc barcelona
 
Asilimia kubwa ya familia na ukoo wangu ni wapenzi wa Simba Sports Club. Kwahio moja kwa moja unakuwa mpenzi wake. Halafu kwa sababu wazazi wangu wanatoka mkoa wa Tanga, wengi wetu pia ni wapenzi wa Coastal Union. Ingawa nilikuja kucheza kikapu kwa muda mrefu, sijaacha kuishabikia Simba. Ingawa ninaishi nje ya nchi kwa miaka 20 sasa, sijachoka kuishabikia timu yangu. Ninajua habari za simba zaidi kuliko hata watu waliopo Tanzania!!! Naipenda sana hii timu. Ninaamini na mabadiliko ya mfumo wa kuiongoza timu kiuchumi, si muda mrefu tutarudisha makali yetu.
 
safi sana hata mimi nimelazimisha familia yangu wote ni simba na Liver
 
Amavubi mie pia ninaipenda sana Liverpool kwa timu za nje. Ngoja nikuelezee ilikuwaje. Nilikuwa nasoma Upanga primary school miaka ya themanini (1982 mpaka 1988). Tulikuwa mara nyingi tunaruka ukuta na kwenda maktaba kuu pale pembeni yake kusoma vitabu. Walikuwa wanayo magazeti ya nje mengi hususani ya Uingereza. Kila ukisoma upande wa michezo ilikuwa ni Liverpool kashinda kila wakati!!!. Kumbuka Liverpool ndio timu iliyokuwa tishio sana miaka ya themanini (enzi za akina Bruce Grobbelaar, Steve Nichol, Alan Hansen, Ian Rush, John Barnes, Peter Beardsley, Steve McMahon, Steve Staunton, John Aldridge, etc.). Jumuisha na rangi zao nyekundu na rangi za timu yangu ya Simba, kuishabikia ikawa inaendana vizuri!! Nimekuwa mshabiki wao toka wakati ule, ingawa nao kama Simba tuna maumivu ya muda mrefu.
 
ukiwa shabiki wa simba ama Liver basi hata kwenye maisha ujue wewe ni mgumu
 
mie liver niliipenda baada ya kusikia wanatumia JINA LA THE RED KAMA SIMBA
Amavubi mie pia ninaipenda sana Liverpool kwa timu za nje. Ngoja nikuelezee ilikuwaje. Nilikuwa nasoma Upanga primary school miaka ya themanini (1982 mpaka 1988). Tulikuwa mara nyingi tunaruka ukuta na kwenda maktaba kuu pale pembeni yake kusoma vitabu. Walikuwa wanayo magazeti ya nje mengi hususani ya Uingereza. Kila ukisoma upande wa michezo ilikuwa ni Liverpool kashinda kila wakati!!!. Kumbuka Liverpool ndio timu iliyokuwa tishio sana miaka ya themanini (enzi za akina Bruce Grobbelaar, Steve Nichol, Alan Hansen, Ian Rush, John Barnes, Peter Beardsley, Steve McMahon, Steve Staunton, John Aldridge, etc.). Jumuisha na rangi zao nyekundu na rangi za timu yangu ya Simba, kuishabikia ikawa inaendana vizuri!! Nimekuwa mshabiki wao toka wakati ule, ingawa nao kama Simba tuna maumivu ya muda mrefu.
 
Mi nilimchungulia binti akiwa na chupi nyekundu!!! Aliponiona akaficha utamu ghafla ndo nikajua chekundu huficha utamu

Ndio maana mpaka Leo naipenda simba
 
yanga wewe tumekustukia
 
Mjomba angu ndiye alitu influence ukoo mzima tuipende Simba (RIP Lila)
 
Amavubi mie pia ninaipenda sana Liverpool kwa timu za nje. Ngoja nikuelezee ilikuwaje. Nilikuwa nasoma Upanga primary school miaka ya themanini (1982 mpaka 1988). Tulikuwa mara nyingi tunaruka ukuta na kwenda maktaba kuu pale pembeni yake kusoma vitabu. Walikuwa wanayo magazeti ya nje mengi hususani ya Uingereza. Kila ukisoma upande wa michezo ilikuwa ni Liverpool kashinda kila wakati!!!. Kumbuka Liverpool ndio timu iliyokuwa tishio sana miaka ya themanini (enzi za akina Bruce Grobbelaar, Steve Nichol, Alan Hansen, Ian Rush, John Barnes, Peter Beardsley, Steve McMahon, Steve Staunton, John Aldridge, etc.). Jumuisha na rangi zao nyekundu na rangi za timu yangu ya Simba, kuishabikia ikawa inaendana vizuri!! Nimekuwa mshabiki wao toka wakati ule, ingawa nao kama Simba tuna maumivu ya muda mrefu.
Mkuu, hebu jitahidi uwe unapita kule kwenye uzi wa chama la kijanja Liverpool.
 
Hivi Azam ina mashabiki wa ukweli, au kwasababu ya mikate na Ice cream tu?
 
Back
Top Bottom