Kwahiyo fatiki yako ilikuwa jikoni tu hadi unaapa hata usiku ulikuwa huendi kufoleni?Kupigwa banzi, na mtama ukawa mwisho wa kwenda uwanjani,
Afande akasema ambao hawawez kwata tokeni mbele nikawa wa kwanza, na akadai kesho tungefikishwa kwa kamanda kikosi,
Kesho yake akaamka anaumwa na kuandikiwa c2, hivyo hakuweza kutekeleza mpango wake na tokea hapo tukawa washikaj sana,
Nakumbuka tunapangwa kwenye makundi kama kwata, ngoma, single, Kombat akanitoa akaniambia hizi sio kazi wewe ni mujibu wa Sheria tuu, njoo nikupeleke jikoni huko nikaingia huko mpk naapa,
Kwani muda wa kula inakuwa saa ngp? Nadhani ni kumi na mbili jion mpk moja kasoro mzabuni amemaliza kazi na jikoni sana sana labda kukanda ngano ya mikate, lkn usiku naenda ku foleni nikaimbishe chenjaKwahiyo fatiki yako ilikuwa jikoni tu hadi unaapa hata usiku ulikuwa huendi kufoleni?
Ila maovyo ovyo na doso ulikutana nayo🤣🤣🤣Kwani muda wa kula inakuwa saa ngp? Nadhani ni kumi na mbili jion mpk moja kasoro mzabuni amemaliza kazi na jikoni sana sana labda kukanda ngano ya mikate, lkn usiku naenda ku foleni nikaimbishe chenja
Hiyo nimefanya sana tuu haikwepekiIla maovyo ovyo na doso ulikutana nayo🤣🤣🤣