Dive
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 895
- 1,489
Mapung'o huyo wa Bongo acha kuchanganyaStriker Mapung’o wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapung'o huyo wa Bongo acha kuchanganyaStriker Mapung’o wapi?
Lini amefariki chief? Sikua nimemsikia miaka mingi sana. Nalikumbuka gazeti la Mcheshi na michoro ya mijimama yenye maumbo tata😀😀😀Nicoye Mbajo is no more
Kwa hiyo hakuwahi kula tunda kimasihara hahaaaaaLodilofa alikuwa na majibu ya tofauti sana, Gari yake ilikuwa ya ukweli sana.
Madenge na mzee wake hawajawahi kuelewanaga.
Pimbi hajawahi fanikiwa kula Tunda
Na sijawahi kumuona Sokomoko Sober.
Hakukuwako DSTV mtaani kwetu kuangalia Manchester na Arsenal, kulikuwa na Sani unacheki Bush Stars Na watoto wa mjini kina chepe.
This thread takes me waaaaaaay back enzi nilizawadiwa T-Shirt ya sani
Mimi wale wa vijijini nlijua wanaishi vijijini hukooAfu watu mikoni huko tulikuwa tunajuwa wale wa town kwenye sani wanaisi Dar
Daahh!Miaka ile, katuni hizi zilikuwa maarufu kiasi kwamba baadhi yetu tulipewa majina ya katuni zile kama majina ya utani.
R.i.P Mtunzi wa katuni hizi marehemu
Philip Ndunguru, aliyefariki mwaka 1986 akiwa na umri wa miaka 24. Katuni zake ziliendelea kuleta tabasamu miaka kadhaa iliyofuata. Kwa kumkumbuka mtunzi huyu, na kufurahia kazi zake.