Unakumbuka nini katika enzi za gazeti la Sani?

Kingo by James Gayo

Huyu alikuwa kwenye gazeti la Majira kama sijakosea

Alikua hana maelezo,ila vitendo vyake tu, fala sanaa 🤣
 
nlkuwa nasoma Mzumbe Sec aiseh lile gazet limenibhrudsha sana, nktoka class tu ni kwenda Mzumbe Chuo kulitafuta kusoma stori na udaku mOto moto..dah limepotelea wapi?? hyo ni 2011 apo
 
Kwa hiyo hakuwahi kula tunda kimasihara hahaaaaa
 
Daahh!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…