CDM chama bora cha siasa cha muda wote Tanzania, chama pekee hakijawahi nunulika na maccm, CDM ni chaguo la MUNGU.
Katika umri wake wa miaka 30 Chadema imefanya mengi ya kulisaidia taifa lakini pia imekuwa kikwazo kwa baadhi ya mambo ya kimaendeleo nyakati zingine.
Je, unaipongeza Chadema kwa lipi?
Je, ungependa chama hiki kikuu cha upinzani kijirekebishe katika maeneo gani?
Je, unafikiri Chadema ni chama tawala mbadala baada ya CCM kufikia maturity stage sasa?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Hilo swali kamuulize February makatani,Yule aliyepewa kugombea mwaka ule wa mafuriko alipata hiyo nafasi baada ya kufanya nini??
Hilo swali kamuulize February makatani,
Natepe mark Mwandosya Jr na yule msomali Mzee wa magufuli ni mshamba sana,
Watakupa majibu Nini kilitokea 2015 isingekua Tumeccm,TISSccm,Policcm & co Jiwe angerudi Chattle kuchunga mifugo na kutokana na ugumu wa Maisha ngo'mbe zote angemuuzia yule Masai aliyeleta mafuriko jangwani!
mpaka watoto wa mjini waliunguza lile deal wakafanya figisu la Karne washenzi wale Leo hii chama Cha kijani kingekua historia na Kwa laana waliyopata wale vijana yule bwana kumbe alikua chatu akaanza kuwameza na wao wakajuta kumbeba,Wale hawajagi mjini kuuza sura. alikata za kutosha, ndiyo maana cdm wakampa usukani. π€£ π π€£
Nisamehe mkuu nimekosa Mimi nisamehe, nisamehewe tuπππWeee jamaaa una dharau sana
Tangu nizaliwe sijawahi kucheka kama LeoCCM ni maprofesa wa siasa za uchaguzi. Kuna kura za wahdzabe huwa chama kinajizolea bure kabisa. Matokeo ya uchaguzi yakitoka huwa ni kilio kwa CHADEMA
Hahaha kwanini?Tangu nizaliwe sijawahi kucheka kama Leo
Hahahahahahahahahahahhhhhh