eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Nawakumbuka kwa kitendo chao cha kumchafua huyu mzee wa watu kwa miaka saba (7). Wakizunguka huku na huku kwa kurudia na kurudia kwamba alikuwa fisadi.
Lakini cha kushangaza walimchagua kuwa mgombea wao bila bila hata ya soni kuhusiana na yale waliokuwa wakiwaaminisha watu kuhusu ubaya wa mtu huyu.