Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaaaaaAhahah. Nakumbuka ukitaka ku rewimd unatumia pen ya biki tu. Sema kasheshe ilikua kujua exactly ngoma unayotaka inaanzia wapi.
Kkkkkkkk yaaniHalafu pia Kaseti lazima iwe na kitambaa ili isichafuke na vumbi
Hiyo ni mkulima ila kaseti zilikuwa na tabia ya kusinzia basi ukiwasha kibao inaendeleaNakumbuka ikizima unaipiga kibao kimoja inaendelea kufanya kazi
Ahahah. Nakumbuka ukitaka ku rewimd unatumia pen ya biki tu. Sema kasheshe ilikua kujua exactly ngoma unayotaka inaanzia wapi.
Nlikua mtaalamu wakuunga vzr sana.Hahahahha na ikinasa ukaivuta ikikatika sasa
Unatulia kuiunga utafikiri unatengeneza ndege