Unakumbuka nini kuhusu Ukumbi wa Diamond Jubilee?

Unakumbuka nini kuhusu Ukumbi wa Diamond Jubilee?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Kwa wakongwe, hebu njooni tukumbushane ukumbi maarufu wa kufanyika kwa matukio makubwa miaka. Ukumbi huo ni Diamond Jubilee, unakumbuka nini kuhusiana na ukumbi huo? Shea nasi
 
Hapo ndipo vita ya kumchapa Nduli Idi Amin Dada ilipotangazwa na Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere.

images (1).jpeg
 
Nikiwa mdogo niliweza kuhudhuria harusi ya Sebastian Ndege na mkewe Rose, na kwa mara ya kwanza nilimuona Masoud kipanya wakibebishana na Nargis na Lady Jay Dee na G Habbash…!!
Kitambo sana
 
Back
Top Bottom