Unakumbuka nini msimu wa krismas?

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Posts
2,007
Reaction score
7,126
Kwa upande wangu ukifika msimu wa krismas huwa naikumbuka sana movie ya home alone (kelvin), mbwembwe za father christmas, nyimbo za kristmas zilizoimbwa na jimmy reeves (jingle bell)

Pamoja na huu mti.. Coz nakumbuka miaka ile ya nyuma kule vijijini hatukuaga na miti ya kristmas( hii yadukani) sie tulikua tunauangalia huu mti bas tunajua msimu wakununuliwa nguo mpya na ndala mpya umewadia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…