Habari wana cc,
Naomba tuanze weekend kwa kukumbuka zamani kidogo
1. Hallo Helena Lile Beberu Bora Chinja Na Ondoa Figo Nene, Nani Mgogo Aliyesimama Pale Serengeti Club Arudi Kwao Canada
2. Kofia huuzwa dukani mwa daudi shilingi mia
binafsi nakumbuka primary, na form one form two... karibu muongo na nusu uliopita!
cc😡erickb52. Nicas Mtei, manoah, BAGAH, Kongosho, Mr Rocky et al
Mkubwa Nyani, ulimng'oa Jina or Jino?

Oops...jino. Ana mapengo kaa matatu hivi.
Kale kakuku kadogo kekundu kako kwako kaka?