Hellow .[emoji119][emoji119]
Siku ya kwanza kufanya mapenzi, jee ulipenda mwenyewe au ulilazimishwa au ulidanganywa vipi mpaka ukaachia?
(Hii ni kwa wanawake)
Kwa wanaume ,,,, je mlitumia mbinu gani kumgegeda mwana mke kwa Mara ya kwanza? .
Mimi ilikuwa hivi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nilikuwa na Mpenzi ila nikamwambia no kwichikwichi hadi ndoa[emoji13][emoji13] akakubali.
Kumbe alikuwa ananivutia pumzi tuu. Nilikuwa kidato cha 4.
Sasa siku moja akaja kunitembelea nyumbani ( nje ya geti) akiwa na friends wake.
Wakaniomba niwasindikize[emoji19][emoji19],
Tukafika hadi wanapokaa, nikagoma kuingia ndani , marafiki zake AKA mashemeji [emoji13] wakasema sisi tupo unaogopa nini?
Basi nikajua hamna kibaya kitakachotokea tukiwa wengi.
Ile kufika ndani DKK 5 nyingi kila mtu akaanza kutoka , Mara sijui naenda wapi , wengine sijui toilet mpaka tukabaki wawili.
Akaanza usumbufu, khaaaa
Nikamwambia Mimi sitaki [emoji13] nayeye akaniambia yeye mwenyew hataki anajitunza hadi ndoa.
Kilichofuata sasa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
WANAUME MUNGU ANAWAONA[emoji57][emoji57]