NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,301
- 2,977
...tukutane hapa ....!!
Mimi ninachokumbuka nilifanya ujinga flani nilimkosea mzigua nikapigwa ban moja makini sana ,
Sikuzijua vyema taratibu za humu na mchecheto wakipumbavu kidogo ko nikaangukia pua Kwa ban moja safi sana nikabaki nashangaa mbona siwezi kuaccess chochote jamii forum
Kumbe ndo ban yenyewe Mimi hata sikuijua hio ban inakua katika muundo upi Ila shukrani sana niliijua kupitia huo mtindo
Sent using Jamii Forums mobile app