The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Hatari sanaView attachment 3561776
Leo kwenye urejeo wa fikra zangu nikapata kukumbuka kipindi maridhawa kilichokuwa kikiruka hewani kupitia chaneli ya TBC ,THIS WEEK IN PERSPECTIVE kikiongozwa na mtangazaji mahiri enzi hizo bwana Adam Simbeye.
Mule kulikuwa na wazee wanachapa ngeli ya mambele kama wanakunywa supu ya kongoro tu 😂.
Mimi na ngeli ya kuunga nilikuwa naangalia bila kuambulia kitu.
Hivi jamaa yuko wapi sikuhizi Mr Adam Simbeye maana sasahivi hskuna vipindi vya kariba yake
Unakumbuka nini mdau kupitia kipindi hicho wakati huo .
View attachment 3561777
Humu ilikuwa inapigwa ngeli ya uingereza + scotland 😂Hatari sana
Mimi mboni nilikua naangalia na nilikua nawaelewa vizuri tu na kipo kipindi TBC km hicho wanapiga mayai tu mwanzo mwisho au hujakibahatisha bado?Mimi na ngeli ya kuunga nilikuwa naangalia bila kuambulia kitu.
Sijakibahatisha mkuu ,now si mfuasi mkubwa wa Televisheni ya taifaMimi mboni nilikua naangalia na nilikua nawaelewa vizuri tu na kipo kipindi TBC km hicho wanapiga mayai tu mwanzo mwisho au hujakibahatisha bado?
Kinaenda kwa jina gani?Mimi mboni nilikua naangalia na nilikua nawaelewa vizuri tu na kipo kipindi TBC km hicho wanapiga mayai tu mwanzo mwisho au hujakibahatisha bado?
Jina sijalishika kichwani ila kipoKinaenda kwa jina gani?
Na Muongozaji wa kipindi je?Jina sijalishika kichwani ila kipo
Sijakifuatilia kipindi TV ikiwa ON nasikia hicho kipindi kinaendelea kuna madogo hua wanakiangalia wanakifuatilia in short mimi sikifuatilii hivyo ndio maana nikakwambia kipoNa Muongozaji wa kipindi je?
😂😂😂 Inaonekana alikutana na lugha konki 😂😂Duh Kuna watu sikumbuki walialikwa kutoka ofisi gani,kuna maza alianza kujikoholesha mwanzo mpk mwisho ikabidi atolewe waseme amepata changamoto ya afya.Nikajua ung'eng'e imekua changamoto hapo.Long time hata sikumbuki ilikua ni mwaka gani.
Oh sawa mkuuSijakifuatilia kipindi TV ikiwa ON nasikia hicho kipindi kinaendelea kuna madogo hua wanakiangalia wanakifuatilia in short mimi sikifuatilii hivyo ndio maana nikakwambia kipo
Hakika mkuuWakati si milele
Jamaa walikua wanaongea English proper,yale mambo ya kuongea unasema sema mmmmmmmmh mmmmmmmmh pale hapakua mahala pake.Kuumbuka ni kugusa tu😂😂😂 Inaonekana alikutana na lugha konki 😂😂
Mimi mboni nilikua naangalia na nilikua nawaelewa vizuri tu na kipo kipindi TBC km hicho wanapiga mayai tu mwanzo mwisho au hujakibahatisha bado?
Hebu acha kuleta mchezo umesema kipindi kipo wanapiga mayai mwanzo mwisho means umekitazama, then unakuja sema hukufuatilia ila wapo madogo ndio wanakiangalia.Sijakifuatilia kipindi TV ikiwa ON nasikia hicho kipindi kinaendelea kuna madogo hua wanakiangalia wanakifuatilia in short mimi sikifuatilii hivyo ndio maana nikakwambia kipo
Sema waliokuwa wanaenda pia walikuwa wadosi wa hatari ,hawakoseiJamaa walikua wanaongea English proper,yale mambo ya kuongea unasema sema mmmmmmmmh mmmmmmmmh pale hapakua mahala pake.Kuumbuka ni kugusa tu
Kipindi kinaendeleaga mimi hua naendelea na mbishe zangu dogo hujaelewa nini? TV ikiwa inaongea naisikia maana wanaweka sauti ya juu nini hujaelewa hapo?Hebu acha kuleta mchezo umesema kipindi kipo wanapiga mayai mwanzo mwisho means umekitazama, then unakuja sema hukufuatilia ila wapo madogo ndio wanakiangalia.
Acha utoto dogo.