Unakumbuka nini ukisikia jina la Adam Simbeye kwenye THIS WEEK IN PERSPECTIVE

Hapo ina tembea lugha mwanzo mwisho ila tisa kumi kingereza cha maprofesa πŸ˜€πŸ™Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ewaa ilikuwa kila ikifika ijumaa mida ya saa 3 ,
 
Alishawahi kualikwa katibu wa ccm mzee mmoja anamustachi ndefu alichemia sijawahi ona

sikutatu baadaye akatimuliwa ukatibu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Maskini ko This week in perspective ikapita na mshahara wake
 
Mzee nilikuwa najua hajui kiswahili harafu ni ijumaa mnasubiri tamthilia mnakesha harafu mbu nyingi nimekumbuka mbali 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…